Lusinde adai Spika anaelekezwa na chama kuwatoa wabunge wa upinzani Bungeni

Kwa. aliyoyasema lusinde. ccm ilipaswa. kuomba radhi umma wa watanzania. ni nje ya utanzania wetu. yale maneno ya maendeleo hayana chama chini ya rais wetu mtukufu kumbe ni maigizo.
 
Kama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
 
Kama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
hiyo. bajeti. inapatikana kwa kodi za wanaccm tu? hivi unajua maana ya kuapa kulinda katiba? ccm ya nyerere sio hii.
 
Lusinde ni msema hovyo! Na mzee wa mipasho ! Serikali haiwezi fanya huo ujinga !
 
hiyo. bajeti. inapatikana kwa kodi za wanaccm tu? hivi unajua maana ya kuapa kulinda katiba? ccm ya nyerere sio hii.
Sasa kama Mbunge wenu kaigomea bajeti kisa kafundwa na kamati kuu unataka Serikali ijipendekeze?
Kwani kuna mwanachadema alikatazwa kutembelea barabara iliyojengwa kwa kodi ?
 
Na kodi basi msichukue mnachukua kwa mtu alie pinga bajeti yetu
Kodi lazima ichukuliwe hata kwa mgeni anayekuja kufanya biashara humu haimaanishi tutampelekea barabara.
Mpango wa matumizi ya kodi ukipangwa na siku ya kuupigia kura mkasusa ina maana hamuhitaji huo mpango sasa mnaulilia wa nini wakati wa utekelezwaji?
Hili ni funzo kuwa mbunge wako anaposema ndio au hapana anatakiwa aseme hivyo kwa maslahi ya wananchi anaowawakilisha na sio matakwa ya mwenyekiti wa kudumu.
 
Hizi tabia za ccm zinatia hasira sana! Inamaana sasa ni kulazimisha wananchi wote tuipende na kuichagua ccm! Naona chama kinatumia ile mikakati ya mwisho kabisa ya kung'ang'aniza kukaa madarakani. Mwisho wake naona haupo mbali sana.
 
Utakamatwa na kuwajibishwa kwa kukwepa kulipa kodi.
Mbona nyinyi hamkamatwi kwa kukaa vikao rasmi vya kuvunja katiba?

Kuliko yote hayo kwanini msikae vikao vya kufuta upinzani rasmi ili nchi iwe na maendeleo?

Ukitaka kula haramu unakula iliyonona!!
 
Mbona nyinyi hamkamatwi kwa kukaa vikao rasmi vya kuvunja katiba?

Kuliko yote hayo kwanini msikae vikao vya kufuta upinzani rasmi ili nchi iwe na maendeleo?

Ukitaka kula haramu unakula iliyonona!!
Weka clip ya vikao basi au zile saa za Nassari zimekufa kibudu ?
 
Ndivyo wanavyofundishwa na mkuu wao ambaye hata mbunge wa upinzani akitumia haki yake kwa kusema hapana kwenye bajeti yake adhabu yake ni wananchi wa jimbo lake kunyimwa kupewa miradi utafikri wao ndiowaliopiga kura bungeni.
 
..nadhani CDM wajilaumu wenyewe.

..CDM hawana WASEMAJI wazuri wa kujibu hoja nyepesi na za hovyo-hovyo za CCM.

..hata wanaposimama majukwaani unaona wanazungumza kwa utashi wao binafsi, na siyo kama kampeni iliyojipanga kimalengo na kimkakati.

..Majuzi kiongozi wa baraza la wazee CDM alizungumza na waandishi wa habari.

..Lakini ukimsililiza unaona kabisa kuwa Mzee wa watu hakupewa msaada wowote ule ktk kuandaa kile alichopanga kuzungumza.

Cc tindo, Chakaza
 
Back
Top Bottom