Omela inatumika kwa wanaume.Jaluo lady, omela lupita nyong'o
aah, najua basi ninawaona mwanza wakiongea hilo neno, na lingine nililodaka ni nyukaOmela inatumika kwa wanaume.
Nyuka ni uji, wajaluo tunapenda sana uji thats why unalisikia often.aah, najua basi ninawaona mwanza wakiongea hilo neno, na lingine nililodaka ni nyuka
Uchagani umehama?Viva Wajaluo....tupo juu
Na ni hapo ulipomjua!ama!Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri