Lumumba kwafukuta; Ya Dodoma yaanza kutoa cheche

Lumumba kwafukuta; Ya Dodoma yaanza kutoa cheche

Ulipotea sana Mzee Tupatupa wa Lumumba.Mi niliwaza ulikuwa unafuatilia 700M zilikuwa za BM au EL?Tunawaombea wasambaratike au wakae kiunafikinafiki ili October kambi zilizoshindwa zifurahi kuona ccm ikiadhibiwa kwenye kura.
 
Hayo ndio matokeo ya kilichotokea,uwanen kabisa tujue moja .
 
Ila jamani yooote yasemwe lakini tungetia aibu sana katika jumuia ya kimataifa kumpitisha EL kugombea urais. Japo ingekuwa nafasi nzuri ya upinzani kupita lakini kile kitendo cha CCM kumpitisha kingeharibu mawazo hata ya kizazi kijacho cha watanzania kuinasibihisha na ufisadi na kwamba hata vyombo vya juu vya maamzi vinabariki vitendo vya ufisadi. Kwamba ukipata nafasi ya umma usilaze damu iba kwenda mbele, ndio mfumo wa utawala wa nchi.
 
Hakuna jinsi yoyote EL awe rais halaf aweze kuipinga rushwa huku wapambe wakiwa Rost, Cheng and kalamag. Yaani hapo ingekuwa kupiga deal kila kitu na kama naiona vile masikini wanaandamana mitaani kudai haki wanauwawa kikatili ili kuondoa upinzani.

Naamini Mwenyeez Mungu huwa ana njia zake za kuwanusu watu wake, acha kina kingunge walalamike, wanajua mipango yao imekwaa kigingi
 
View attachment 268567 Tetty
VUTA-NKUVUTE

11287804_864412910300324_960483897_n.jpg


Mbona Lumumba pamepoa haswa
je huko Monduli ni wazima kweli, maana kadi zachomwa, mara bendera za CDM zapepea
 
Walionuna walitaka lowassa akiingia wale pesa zake?
 
wakati haya yakiendelea huko lumumba ikulu kununiana ndio usiseme....makamu wa rais na waziri mkuu wanamsubiri kikwete arudi wamuulize ni nini kuwakosea adabu vile ...kuwanyima hata tano bora mmoja wao ..ina maana hana imani hata kidogo na wasaidizi wake ...kuna wanaowasukuma wajiuzulu especially wana maskani znz ...

Na mnafiki aliyewasha huu moto huyooo kaenda kueka mambo yake sawa uswiss ...tuna bahati tuna amani nchi nyingine ccm wangemuambia abaki huko huko kama nkuruzinza

JK bana. Sometimes he is funny! Hivi kweli wasaidizi wake wakuu ni wa hovyo kuliko Januari na Amina?
 
Story za chini ya mwembe kazi ya Dodoma imeisha na Tingatinga liko mzigoni mtoa uzi inaonekana na wewe ni miongoni mwao kama vipi tupia picha zao kama hilo haliwezekani waambie watoke CCM maana hawalazimishwi kubakia huko!
Si hizi?
 
We binti wa Tupatupa una akili sana wewe, hebu pokea like yako hapo, sim yangu haina kitufe cha like

Asante,hahaha Malezi ya Mzee Tupa Tupa hayo,Tunatakiwa kupewa tu Nafasi na si kuwezeshwa.
 
JK bana. Sometimes he is funny! Hivi kweli wasaidizi wake wakuu ni wa hovyo kuliko Januari na Amina?
CCM siyo CHADEMA , tangu 2010 mlijua mgombea wenu ni SLAA, chama chenye demokrasia hakiangalii nani yuko wapi.
 
vuta-nkuvute


bintiyo nilikuwa nakusubiri kwa hamu kubwa utupe ukoko uliobaki kule dodomya.niliona unafiki toka dodomya watu wakipiga makofi mengiiiiiiiiiiiiii lakini nikajiemea kamwe usiusemee moyo wa mtu.

Hakika mwenyekigoda hakutumia busara wala hekima.ningekuwa mimi kwenye viatu vyake ningefanya haya:

1.kwenye kamati ya maadili ningewaomba wagombea wote waliojipigia debe mapema wenyewe wajiondoe ili chama kisipate mushkeli kwenye uchaguzi mkuu kwa kuambiwa kwamba ccm ilianza kampeni mapema.

2.ningejiondoa kwenye uenyekiti nikamwachia mangula kiti kwa kisingizio kwamba ....sitakuwa huru kwenye kuamua wathungu wangesema 'interest of conflicts'

3.ningeacha waliobaki wajieleze kwenye kamati ya maadili na kila mmoja ajibu kulingana na interview atakayokuwa amepewa na jopo la kamati ya maadili

4.ningesubiri kwenye mkutano mkuu yale majina yakiwa yameshachambuliwa.

Kutoka hapo ningekuwa nimenawa mikono kama alivyofanya ponsio pilato,makundi yangekuwepo,lakini yangeweza kuelewa kwa uwazi kabisa bila kuleta chuki wala mvurugano kwenye chama, nina uhakiak ningetoka kifua mbele kwa uamuzi huu.

Simfagilii lohassa ila kilichofanyika ndiyo siyo sahihi.............

Naomaba ya tafakari haya kisha unijibu kama ningekuwa mshindi au?na ndiyo maana nasema 'tupewe nafasi tu, tusiwezeshwe kwani tunaweza bila kuwezeshwa'.
nikuvute-vuta
 
Back
Top Bottom