Lumumba kwafukuta; Ya Dodoma yaanza kutoa cheche

Lumumba kwafukuta; Ya Dodoma yaanza kutoa cheche

Lowassa akamwambia jk ...." Sawa umenikata Mimi kwa sababu unasema fisadi ...SASA Hadi Makongoro Naye unamkata ..NA Hana kashfa ....."

WAZIRI MKUU NA MAKAMU wa Rais ..kiprotocal huwa wanaingia 5 bora ..NA Kama hawatakiwi kugombea huwa wanaambiwa mapema ..ILI kutikuwadhalilisha ....
Vivyo Hivyo waliopata KUWA mawaziri wakuu Kama hawatakiwi hutumiwa kabisa watu NA mapema wasichukue fomu ILI presidency usidhalilishwe

dah inachekesha sana. JK hana uwezo mkubwa ktk chama. Atulie alipo, amemalza magamba na kuikabiz kwa upinzani. Pole JPM kuwa mtu wa kwanza kushndwa kuptia CCM
 
Back
Top Bottom