tumemruhusu tingatinga .... kuna waliokimbia mapema kina lowasa, somaye , kingunge na wengine... waliobaki bora wachomoke kabisa....
Muda si mrefu "Ufipa" itageuka "safe haven" kwa mafisadi...
Masalia wa waajiliwa wote wa Vibaka Ltd watachukua uhamisho rasmi. Cc msalani Mmawia Bavaria MR PRESIDENT MUSSA ALLAN nifah mshana jr
Halafu wakifika huko ndio wanakaa meza kuu. Walio wakuta wanakuwa vijakazi. Leo hii kwenye tamko la chama Mnyika anakaa jukwaa la waandishi wa habari!!! Hana kiti tena meza kuu. Kimebebwa na Sumaye ambae kwa miaka mingi wapinzani walikuwa wakimuita zero na fisadi la kuhodhi ardhi.
Wapinzani ndio kwanza wanachekelea.
Wapigane wenyewe sisi tunawaangalia.
Kwa kufafanua ni kwamba wanaoisoma namba ni team Lowassa ndani ya CCM ambao walitegemea awe rais kwa tiketi ya CCM akakatwa. Walitegemea apate kwa UKAWA akakatwa tena. Laiti angepata tungeona wakihama toka CCM kwa wingi wao kumfuata bosi wa mtandao, EL. Waliasisi MFUMO uliokichafua chama cha ccm. Hao ndo walikuwa wakiimba pale Dodoma- tuna imani na Lowassa. Hao ndo JPM aliwasema mchana ccm, usiku UKAWA. Hao ndo wanaisoma namba T2015JPM. Wengine sisi roho kwatuuu. CCM mbele kwa mbele.
Watu wametishwa. Watu wametishika. Makada watakosa za watoto ada. Kujenga kutasimama. Miradi itapigwa radi na kuishia kuwa ahadi. Chama kina utawala wake. Chama kina Mwenyekiti wake. Si huyo Rais wa Tanzania. Kwanini majipu ya chamani nayo yapaniwe kutumbuliwa?
Tumepata taarifa, isiyo na ya kuvutia sifa,kuwa jamaa anataka kupewa nafasi ajinafasi kuyatumbua majipu ya chamani. Lakini, ameombwa asubiri wakati wake ufike. Makada wanakipenda chama kwa 'maslahi yanayoleta uhai'. Yakikaushwa ghafla,hapatatosha. Lakini, Ofisi Ndogo za CCM Lumumba hapakaliki. Hakuna raha ila karaha kusubiri pigo la ghafla.
Makada nchi nzima wanamuunga mkono Rais kutumbua majipu pengine lakini si chamani. Chamani kunafukuta kwa hofu ya 'bifu' kuporwa mnofu. Makada wanatumikia chama na wao wenyewe. Wanatamani wale waminywe na wao wasiguswe ili wasisuse. Hawataki sera ile ifike humu chamani.
Serikalini sawa, chamani si sawa. Double standards!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ndoa ndoano?
Mbavu zangu? Yaani Magufuli asipokuwa makini atavunja ndoa ya Chama chake na Sirikali na mwisho wa siku sijui atakuwa mgeni wa Nani?
Ndoa wanajuana waliooana na thamani yake! Wale wakuja na kuingilia ndoa za watu ni kuhatarisha Ndoa za watu na watu watapigana kufa na kupona kulinda ndoa zao.
Point yako ni nzuri ila hapa tuna mzungumzia mtumbua majipu Sumaye wako hana nafasi hapa
Halafu wakifika huko ndio wanakaa meza kuu. Walio wakuta wanakuwa vijakazi. Leo hii kwenye tamko la chama Mnyika anakaa jukwaa la waandishi wa habari!!! Hana kiti tena meza kuu. Kimebebwa na Sumaye ambae kwa miaka mingi wapinzani walikuwa wakimuita zero na fisadi la kuhodhi ardhi.
Hivi unadhani Magufuli akiamua kweli kuyatumbua majipu yote nani atakae pona ndani ya ccm?
CCM ndo wanaisoma namba!
kepler,
upo sahihi kabisa. Ccm maslahi ambao ni rafiki wa lowassa ndio watakao guswa na rungu la dkt magufuli. Sisi wengine wafia chama uwa tupo kama vinyonga...unabadilika kutokana na uongozi uliopo.
Baadhi ya wafuasi wa lowassa ndani ya ccm ndio wale aliowapa ubunge viti maalum chadema wakiwa bado ni wana ccm. Hawa wajitoe fasta kwenye chama chetu. Hawana nafasi tena. Waende kule kwenye kimbilio la mafisadi.
Acha waisome ## tu magamba, wamezidi kuongeza sifurizz