Sisi Wakwere tuna methali isemayo : kidege che sikiumanyile ulimbo kigwilaga na mabawa gose. Yaani, ndege asiyeujua ulimbo, hunaswa na mabawa yote. Ndege kanaswa, dawa yake ni kuliwa tu!
Muda si mrefu "Ufipa" itageuka "safe haven" kwa mafisadi...
Masalia wa waajiliwa wote wa Vibaka Ltd watachukua uhamisho rasmi. Cc msalani Mmawia Bavaria MR PRESIDENT MUSSA ALLAN nifah mshana jr
Bibi na bwana wakigombana nyumbani, waache wenyewe wataelewana, ikawa ukawaingilia, utanakinanieee....wimbo'Ndoa ndoano?
Mbavu zangu? Yaani Magufuli asipokuwa makini atavunja ndoa ya Chama chake na Sirikali na mwisho wa siku sijui atakuwa mgeni wa Nani?
Ndoa wanajuana waliooana na thamani yake! Wale wakuja na kuingilia ndoa za watu ni kuhatarisha Ndoa za watu na watu watapigana kufa na kupona kulinda ndoa zao.
Wakiona anawazingua sana waropoke tu kwamba "kushinda kwenyewe hukushinda tulikubeba halafu unaleta za kuletwa?"
salute kwako mzee edward lowassa kwa kusababisha CCM wamteue magufuli kuwa mgombea urais.vinginevyo tusinge yashuhudia/sikia haya.mungu ibariki Tanzania,mungu mbariki Edward lowassa.