Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

Lowasa angetumbua majipu au angekuna upele tu?

Nilishakukataza hii tabia yako ya kuishi kwa imagination husikii.
Huyo Magufuli katumbua jipu gani la maana hadi sasa?
Ndio maana Watanzania tunachekwa sana kwa hii tabia yetu ya kuridhika na mambo madogo na kumwaga misifa kibao.
 
Unachekwa na nani? Angalia jiranizako wanavyomtamani JP hapo
uploadfromtaptalk1448355916834.jpg
 
Tabia za kuridhika na mambo madogo madogo zipo upande wa Mikoa ya Pwani si Tanzania yote.

Nilishakukataza hii tabia yako ya kuishi kwa imagination husikii.
Huyo Magufuli katumbua jipu gani la maana hadi sasa?
Ndio maana Watanzania tunachekwa sana kwa hii tabia yetu ya kuridhika na mambo madogo na kumwaga misifa kibao.
 
Tabia za kuridhika na mambo madogo madogo zipo upande wa Mikoa ya Pwani si Tanzania yote.

Kabisa mkuu,nakushukuru kwa kuiongezea nyama hoja yangu.
Laiti kama Watz wote wangekuwa kama sisi (me & you) tungekuwa tunaongelea mengine saa hizi.
 
huyu ni bwana mdogo sana kwenye chama na sio mwenye chama wenye chama na nchi wapo na watampa maagizo, namna ya kufanya kazi. anaju amefika je hapo? mnaopiga kelele mnajifurahisha ili siku iende
 
Watu wametishwa. Watu wametishika. Makada watakosa za watoto ada. Kujenga kutasimama. Miradi itapigwa radi na kuishia kuwa ahadi. Chama kina utawala wake. Chama kina Mwenyekiti wake. Si huyo Rais wa Tanzania. Kwanini majipu ya chamani nayo yapaniwe kutumbuliwa?

Tumepata taarifa, isiyo na ya kuvutia sifa,kuwa jamaa anataka kupewa nafasi ajinafasi kuyatumbua majipu ya chamani. Lakini, ameombwa asubiri wakati wake ufike. Makada wanakipenda chama kwa 'maslahi yanayoleta uhai'. Yakikaushwa ghafla,hapatatosha. Lakini, Ofisi Ndogo za CCM Lumumba hapakaliki. Hakuna raha ila karaha kusubiri pigo la ghafla.

Makada nchi nzima wanamuunga mkono Rais kutumbua majipu pengine lakini si chamani. Chamani kunafukuta kwa hofu ya 'bifu' kuporwa mnofu. Makada wanatumikia chama na wao wenyewe. Wanatamani wale waminywe na wao wasiguswe ili wasisuse. Hawataki sera ile ifike humu chamani.

Serikalini sawa, chamani si sawa. Double standards!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Endapo itakuwa kweli basi ule usemi wakati wa kampeni kwamba magufuli si tatizo ila tatizo ni chama utakuwa umethibitika. Lakini je magufuli ataucheza music wao?
 
Hahaaaaaa hii umehack kwa mafunzo ya Mkorea aliyekuja kugushi matokeo uchaguzi Mkuu? Ccm haipokei order toka Moshi,kila mteuzi ana madaraka yake ya kuongoza. Kama yapo majibu huko Ccm jitayarisheni kuyapokea yaje yatumbuke huko. Wameshaambiwa wanafiki waondoke. Kwa kasi hii ya Magufuli hata haitaji nguvu ya chama sisi wananchi tuko nyuma yake
uzuri mtu wenu muliyemuweka kafika alipopataka humu ndani utapotea sasa hivi manake hakuna fungu la book saba hata januari makamba aliyejitanabaisha kufoji takwimu hana uhakika hata kama akiingia kwenye baraza la mawaziri atambadirishaje muheshimiwa awasikilize na chama chao, kwenye chama wakileta za kulet wajumbe toka usukumaniwatawaomeana hapa ndio usukumai kuwa a chatiyao ndani ya chama
 
jamani acheni asafishe ili afanye kazi zake vizuri,mambo ya huyu ni MWENZETU futa kabisa its OVER.
 
...wacha wale wakata viuno wa ccm waliokuwa wanamshangilia JPM waje wakione sasa...maana wamezoea vya kunyonga.....'sasa kazi tu' itakula kwao....
 
Machadema kwa kujifariji na vipost vya kipumbavu hawajambo.. inawezekana kweli CCM wanaisoma namba kama mnavyojiaminisha wenyewe hapa, tuseme ndio iwe hivo na ikishakuwa ivo wewe cheka kwa dharau kama alivocheka nyumbu mmoja hapo, ila sisi tunaelewa kitu kimoja ambacho wewe hukijui Mzee Muongo Mnafiki wa Lumumba tukianza kuwaona ChaDoMO wanasoma namba watakuja na ile kauli ya white hair aliposhindwa kumjibu mdada wa BBC swahili na kuanza kujing'ta nadhani munaijua ile kauli maarufu sana 'NAONEWA' naisubiria kwa hamu

Acha kurukia mambo mengine. tafadhali rudi kwenye mada. husika. 😁
 
Machadema kwa kujifariji na vipost vya kipumbavu hawajambo.. inawezekana kweli CCM wanaisoma namba kama mnavyojiaminisha wenyewe hapa, tuseme ndio iwe hivo na ikishakuwa ivo wewe cheka kwa dharau kama alivocheka nyumbu mmoja hapo, ila sisi tunaelewa kitu kimoja ambacho wewe hukijui Mzee Muongo Mnafiki wa Lumumba tukianza kuwaona ChaDoMO wanasoma namba watakuja na ile kauli ya white hair aliposhindwa kumjibu mdada wa BBC swahili na kuanza kujing'ta nadhani munaijua ile kauli maarufu sana 'NAONEWA' naisubiria kwa hamu

Acha kurukia mambo mengine,tafadhali rudi kwenye mada husika. 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom