Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

Lumumba hapakaliki, CCM kwafukuta

sisi huku wengi kweli tunaanza kuipenda ccm kwa dhati kabisa,na SI kwa maslahi na ufedhuli wa kuiba,kudhulumu,kubandika vibendera vya kinafki katika shughuli feki ili kujilinda!
Leo HII wauza unga wengi hutumia bendera za ccm kama ngao!!!
 
Hahaha labda viumbe hawa wataongezeka amekula sana, sasa ndo naelewa kwani alimwita waziri wake mzururaji labda alianza kumfuatilia kuhusu biashara ya p za ndov
 
Pelekeni ufataani wenu Ufipa, Lumumba yupo kiboko yenu Kinana.

Mtapaota sana.
 
Hahaaaaaa hii umehack kwa mafunzo ya Mkorea aliyekuja kugushi matokeo uchaguzi Mkuu? Ccm haipokei order toka Moshi,kila mteuzi ana madaraka yake ya kuongoza. Kama yapo majibu huko Ccm jitayarisheni kuyapokea yaje yatumbuke huko. Wameshaambiwa wanafiki waondoke. Kwa kasi hii ya Magufuli hata haitaji nguvu ya chama sisi wananchi tuko nyuma yake

CCM wameiba pesa zote HAZINA, sasa hii inakuwa tamu kwa kutofautisha kati ya Chama na Serikali. Hakuna Ufisadi na kuteteana kichama.

CCM itumie Ruzuku yake kujiendesha na siyo kutumia pesa ya serikali.

Mwaka huu wataisoma namba, walidhani magufuli ni CCm mwenzao kumbe ni UKAWA na ndio maana wakati wa kampeni Magufuli alikuwa anatumia alama ya Vidole viwili pamoja na neno MABADILIKO. CCM walikuwa hawamuelewi ana maana gani kusema MABADILIKO na kutumia alama ya UKAWA.

Na pia ndi maana alisema kuna watu ndani ya CCM mchana wapo CCM na Usiku wapo Upinzani ni kwamba na yeye ni Upinzani. Watu wengi walikuwa hawamuelewi ana maana gani kusema vile.

Na ndio maana wakati wa kampeni Magufuli alikuwa hasemi CHAGUA CCM, BALI ANASEMA CHAGUA MAGUFULI. Kwa kuwa anajua yeye siyo mwna CCM bali ni UKAWA.

Chagua Magufuli.jpg

Na ndio maana amekataa UENYEKITI wa CCM, kwani ameogopa kuwa Mnafiki.

Angalia leo Magufuli mambo mengi anayoyafanya ni yale ambayo UKAWA walikuwa wanasema wakati wa kampeni hivyo Magufuli anatekeleza tu. TUMPE HONGERA MWANA UKAWA MWENZETU

CCM IMESHAKUFA.

profilepic 2015.JPG
 
Watu wametishwa. Watu wametishika. Makada watakosa za watoto ada. Kujenga kutasimama. Miradi itapigwa radi na kuishia kuwa ahadi. Chama kina utawala wake. Chama kina Mwenyekiti wake. Si huyo Rais wa Tanzania. Kwanini majipu ya chamani nayo yapaniwe kutumbuliwa?

Tumepata taarifa, isiyo na ya kuvutia sifa,kuwa jamaa anataka kupewa nafasi ajinafasi kuyatumbua majipu ya chamani. Lakini, ameombwa asubiri wakati wake ufike. Makada wanakipenda chama kwa 'maslahi yanayoleta uhai'. Yakikaushwa ghafla,hapatatosha. Lakini, Ofisi Ndogo za CCM Lumumba hapakaliki. Hakuna raha ila karaha kusubiri pigo la ghafla.

Makada nchi nzima wanamuunga mkono Rais kutumbua majipu pengine lakini si chamani. Chamani kunafukuta kwa hofu ya 'bifu' kuporwa mnofu. Makada wanatumikia chama na wao wenyewe. Wanatamani wale waminywe na wao wasiguswe ili wasisuse. Hawataki sera ile ifike humu chamani.

Serikalini sawa, chamani si sawa. Double standards!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hahahaaa wanalo mwaka .
 
CCM ndo wanaisoma namba!

Wametuibia sana haijalishi Magufuli kaupataje Urais kwa joto lilikuwapo na kwajinsi watu walivyoonyesha uvumilivu naamini huu ni mpango wa Mungu Magufuli tenda tena bila hofu thawabu utazikuta mbinguni.
 
Kwamba ccm iongozwe na mtu ambaye hakuwahi kuwa kada?
 
Majipu ya Lumumba yameanza kuweweseka..
Hakuna jinsi lazma muisome namba...
Hili jipu
FaizaFoxy n company ltd lishatekenywa linasubiria kukamuliwa
 
Machadema kwa kujifariji na vipost vya kipumbavu hawajambo.. inawezekana kweli CCM wanaisoma namba kama mnavyojiaminisha wenyewe hapa, tuseme ndio iwe hivo na ikishakuwa ivo wewe cheka kwa dharau kama alivocheka nyumbu mmoja hapo, ila sisi tunaelewa kitu kimoja ambacho wewe hukijui Mzee Muongo Mnafiki wa Lumumba tukianza kuwaona ChaDoMO wanasoma namba watakuja na ile kauli ya white hair aliposhindwa kumjibu mdada wa BBC swahili na kuanza kujing'ta nadhani munaijua ile kauli maarufu sana 'NAONEWA' naisubiria kwa hamu
 
Hahaaaaaa hii umehack kwa mafunzo ya Mkorea aliyekuja kugushi matokeo uchaguzi Mkuu? Ccm haipokei order toka Moshi,kila mteuzi ana madaraka yake ya kuongoza. Kama yapo majibu huko Ccm jitayarisheni kuyapokea yaje yatumbuke huko. Wameshaambiwa wanafiki waondoke. Kwa kasi hii ya Magufuli hata haitaji nguvu ya chama sisi wananchi tuko nyuma yake

Wee nawe hata hujielewi Moshi imeingiaje hapa wivu mwingine bana aliyepewa kapewa tu wee endelea kushikilia vibuyu na ulozi ukiusubiri utajiri na mendeleo Moshi falsafa ya hapa kazi tu ilianzia toka enzi za mababu zetu angalia kihoro kisikuuwe karibu.
 
Kwam hujaona kashatumbua tayari majipu matatu?, la safari za nje, sherehe za Uhuru zimepigwa stop na million 200 za kula bata zimenunua vitanda na vifaa vingine muhimbili.

...woi ngoja niende zangu WWE!!
 
Hapatakalika kwa Wasaliti na Wapiga deal waliojificha ktk mgongo wa CCM.
 
Wewe sasa uko Ufipa unajuaje mambo ya Lumumba? Mwambie EL pia aanze kufanya clean-up hapo Ufipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom