Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 454
atakavyogombewa sasa,kama vile amekuwa bikra.
hahahahaaaaa umenichekesha kweli mwayegooo....!!!
atakavyogombewa sasa,kama vile amekuwa bikra.
ni kwali kabisa afisa wangu!!maana wewe unalo ona haliwezekani wengine kama kumsukuma mlevi!!Duniani kuna mengi.
si ndiye yule bibi wa mtwara anayetafutwa na serikali!!!anaweza kubadili gesi kuwa maji!!!ameishi toka enzi za majimaji!!!Hivi huyo lulu ndio nani jamani nasikia lulu,lulu mwenye info please:A S 100:
ha ha aha et very tafunikable....lool ad mnasie mwaka huuKweli,kapo veri "tafunikable"
Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
Truth be told. Ningekuwa mwanaume ningekimbia wanawake wazuri, lolSasa wee nawe usiwatishe watu.