LULU Out "Mama Kanumba Aanguka KILIO"

LULU Out "Mama Kanumba Aanguka KILIO"

Hichi kimalaya walikuwa wakiache hukohuko.
Tokalini kesi ya kuuwa ikawa na dhamana

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Dah! Pamoja na yote anayokabiliwa nayo, whether true or not, haka katoto kamekaa utamu sana aisee!


Zinaa ni hatari sana,heri kuoa kabisa ili kupunguza matamanio.

La sivyo utakumbwa na stress zisizokuwa na maana pindi ukimkuta la azizi wako kama huyu katoweka alafu punde anarudi na malashi ya mavituziiiiiiiii a.k.a (janaba) hapo lazima pachimbike.
 
<article>
lulu.jpg

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imempa dhamana msanii wa filamu, Elizabeth Michael &#8216;Lulu' anayekabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.Msanii huyo alipewa dhamana hiyo jana kwa masharti manne ya msingi, likiwamo la kusaini bondi ya jumla ya Sh40 milioni.Hata hivyo, licha ya Mahakama hiyo kumpatia dhamana, juhudi za mawakili wake, kuhakikisha anarejea uraiani jana hiyo ziligonga mwamba baada ya Msajili wa Mahakama aliyepaswa kuhakiki vielelezo kutokuwapo.



</article>
 
​
Lulu (katikati) akitoka eneo la mahakama baada ya kukamilisha dhamana yake.
​
Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake.
​
Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya Lulu.
​
Lulu akiingia katika chumba cha msajili wa mahakama ili kukamilisha dhamana yake.
​
Gari lililombeba Lulu likiondoka mahakamani.
​
Lulu akishuka katika gari la polisi baada ya kuwasili mahakamani leo.
​
Lulu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) baada ya kupata dhamana leo.
--------------------------------
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumuua msanii mwenzake wa filamu Steven Kanumba Aprili 7, 2012 bila kukusudia baada ya kukamilisha taratibu zote za dhamana.

​
Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyumba akifuatiwa na mama yake mzazi.
​
Wasanii nao wallijitokeza mahakamani hapo kumfariji Lulu, kulia ni msanii wa filamu, Muhsin Awadh 'Dk. Cheni'
​

​

Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyumba akifuatiwa na mama yake mzazi.




Baada ya jana kushindikana kwa sababu zisizo zuilika hatimaye msanii maarufu Elizbeth 'Lulu' Michael ametoka kwa dhamana baada ya kutimiza masharti yote ya dhamana yake yaliyo tolewa na mahakama kuu.


Mara baada yakutoka Lulu alieyeonekana akiwa mwenye majonizi na furaha kiasi aliomba watanzania wote wamuombee maana hii ni dhamana tu na kesi yake bado inaendela. Ali washukuru watu wote waliokuwa pamoja nae katika mkasa huuu amabao bado unamzunguka na pia alimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa pamoja nae katika kipindi chote cha matatizo yanayo mkablia.


Wakili wake Ndugu Flugence Massawe amesema kwamba hii ni hatua ya kwanza kwasababu case bado inaendelea. Kwa sasa wanasubiri mahakama itoe tarehe ya Lulu kurudi mahakamani.​

428254_259600657504343_235484084_n.jpg


.

.


Siku zote nimekuwa nikijiuliza juu ya Lulu kukaa mguu pande muda wote, lakini baada ya kusikia jina la mama yake, hasa ile surname 'Karugila'/ 'Kalugila' sasa nimeelewa sababu!!!! Halafu Dr. Cheni anataka kumrithi Kanumba nini? Ajiandae na brain concussion!
 
binti sasa amefunzwa na dunia, nimeamini asiyefunzwa na mamaye dunia itamfunza!
 
Wakubwa wamechoka kulia kwenye luninga... wanataka live live!
 
Back
Top Bottom