Ni kweli ana pepo kwani siku hizi kila alhamis anakuja kawe kwenye maombezi kuna nabii mmoja yupo kawe kwa mama kessy ndiye anayemuombea tena anakuja na rafiki yake ila anajificha sana tena siku ya kwanza mapepo yake yalimvamia hiyu rafiki yake aliyemleta na kusema kwanini amemleta kwenye maombi wakati lizy ni mtu wao wanamtumia kutafuta damu yaani ilikuwa vurugu sana.
HUyo shehe nae anataka nyama kijanja tu mxiuuu mbuzi akachinje mwenyew, we jiombee kwa mungu lulu, achana na tapel hilo.