Mwenzangu ndio nimetoka kupata break fast ya nguvu kwa mange khaaa, nyie mange sio wa kugomnana nae ni atakuaibisha utajuta, nawashauri mastaa wajipendekeze tu kwa huyo mtu maana nimemshindwa tabia asswh, ila mbona na yeye khaa kuzaa na mume wa mtu ndio nn mxiuuui mbwa uyu
Kumbe mboni kazaa na chief hhhhhaaaaaaaa
Kumbe badili tabia ni ke? Chinekeeeee
Nyie mange mmh..
Kumbe badili tabia ni ke? Chinekeeeee
Kama hasomagi mbona kaitoa hiyo picha ya michael na barbadian hhhhhaaaa
Nimeona wa chief k
Shhhhh binamu jinsia inaendana na mada na jukwaa
Mange katisha loh
Naona hudda kaamua apige kimya...maana atawaharibia
Kumbe kaitoa hahahaha
Atakua anasoma huyo tena usikute anachangia mada hihihiioi
Kama kaitoa kweli...i salute Mange aisee
Kama kaitoa kweli...i salute Mange aisee
LUlu itakayomtibua ni ya kupewa ngoma tu, ndio maana sekcy alivyokufa alipanick sana, kwa kuwa inajulikana jamaa ndio vile, ndio maana anaogopa kurudi insta, kuna watu wanamjua vizur lulu na secky
warumi Dada sijawahi kuona avatar yakoPale karibia na jeshi kawa kwa yule mchungaji mghana? KEssy nae alikuwa anasar apo akatolewa mapepo, yeye aliambiwa ana tattoo sijui ya nyoka au nge ndio inayompa mateso, duh bas atapona yule mchungaji ni noma, sema waumin wake wana pesa hatar, kama wewe maskin kama warumi bora mkajazane tu kwa gwajima
warumi Dada sijawahi kuona avatar yako
Yupo kaweka private,,,eti anajisifianumalaya umempa kila kitu anagekua mzuriii na anpendwa mbona anaishia kua mchepuko tu,angekua na wake sio kuwa ukewenza na mke wa komba bibi yule mtoto ana janaba kubwa yuleeee
Nashangaa kama wanaumuona wa maana kwa nini wasimuoe wakampa heshima? Gonjwa kashalipata atahangaika sana mwaka huu mxiuuu ,kujifanya mzuri mxiuuuu wazuri wote wameolewa na wana maisha yao, ye kutwa kufanya umalaya mtoto mdogo anatafuta mabalaa, nasikia lulu kaukwaa mwenzangu kitamboo toka enzi za kenembe
Ila kwa hawa wasanii wetu usishangae kukuta luku amefanya makusudi ili apate kiki ya kurudi kwenye social media
Umeona mchambo wa mboni u-turn???.... walah mjini sihami
Maana jana nilivyoona barbanian (sijui spelling ndio hizo) alivyokuwa anarusha vijembe, then posti ya mboni insta nikajua Mange atakuja na gazeti tu
LULU MIKE ANA UKIMWI?Nashangaa kama wanaumuona wa maana kwa nini wasimuoe wakampa heshima? Gonjwa kashalipata atahangaika sana mwaka huu mxiuuu ,kujifanya mzuri mxiuuuu wazuri wote wameolewa na wana maisha yao, ye kutwa kufanya umalaya mtoto mdogo anatafuta mabalaa, nasikia lulu kaukwaa mwenzangu kitamboo toka enzi za kenembe
Hahahahaaaaaaaaa uwiiiiMimi sio dada wewe mtoto shika adabu yako, mimi ni hawara wa baba yako hivyo kuwa na adabu unapoongea na mama zako wa kambo mxiuuuuu!!!, ungekuwa na pesa kama za baba ako ningekupa uonje ujue kama mimi ni dada au mama tumbili wewe mxiuuuuu...