Wewe majini yako yametoka?
Yamerudi kwako
Wewe majini yako yametoka?
Lulu ambavyo hivi karibuni amekuwa kimyaa nje ya mitandao ya kijamii angebaki hivyo hivyo angeishi kwa amani
Hhhhhaaaaaaaaaaa hiyo cheni aliyovaa si na husna maulid anayo kwa hiyo wote walipewa za kufananaa zenye madini
Yupo insta kwenye page ya huddah anamtukana kweli mange na mtoto wake sijui kwa vile ye mimba zake hua anazinya chooni,,,anatumia lizymichael kanamwagikajee hukoo sikj akishushiwa gazeti na mange atalazwa icu nakuambiaaaaaaaa
Nimeona lizymichael nikawa sielewi
Ngoja amtie mange wazimu amshushie gazeti siri zake zimwagwe hadharani kama hajaenda nigeria kabisa
Heeeerr yupoo, yaaani atalazwa shauri zake mwenzie Mboni kashapewa dose yake leo.Yupo insta kwenye page ya huddah anamtukana kweli mange na mtoto wake sijui kwa vile ye mimba zake hua anazinya chooni,,,anatumia lizymichael kanamwagikajee hukoo sikj akishushiwa gazeti na mange atalazwa icu nakuambiaaaaaaaa
Yaan angeepukana na huo uzi mbona mangenhakumuandika vibayaa natamaniii ashushiweee gazeti hhhhhaaaa mwizi wa waume za watu
Ila kwa hawa wasanii wetu usishangae kukuta luku amefanya makusudi ili apate kiki ya kurudi kwenye social media
Umeona mchambo wa mboni u-turn???.... walah mjini sihami
Maana jana nilivyoona barbanian (sijui spelling ndio hizo) alivyokuwa anarusha vijembe, then posti ya mboni insta nikajua Mange atakuja na gazeti tu
Kafanyaje lulu Jaman,hii mvua inaninyima kupiga umbea vzur
Ila kwa hawa wasanii wetu usishangae kukuta luku amefanya makusudi ili apate kiki ya kurudi kwenye social media
Umeona mchambo wa mboni u-turn???.... walah mjini sihami
Maana jana nilivyoona barbanian (sijui spelling ndio hizo) alivyokuwa anarusha vijembe, then posti ya mboni insta nikajua Mange atakuja na gazeti tu
KAfanyaje lulu mpaka amchambe mange
Ameshaweka mchambo tayarii hhhhhhaaa ngoja nikimbiekoooo hhhhhaaa
Ameshaweka mchambo tayarii hhhhhhaaa ngoja nikimbiekoooo hhhhhaaa
Mjini kutamuuuuuuu
EBu nipe umbea kafanyaje mboni
Kumbe mboni kazaa na chief hhhhhaaaaaaaa
Shosti nipe ubuyu vizuri
Ila ka mboni kamejitutumua kujifanya hakajui kinachoendelea uturn wakati sindano imemuingia.... ikifika jumatatu siri zake zote hadharani walaah
Kama hasomagi mbona kaitoa hiyo picha ya michael na barbadian hhhhhaaaa
Kumbe mboni kazaa na chief hhhhhaaaaaaaa