Lulu: Mimi sina Jini mauti Jamani

Lulu: Mimi sina Jini mauti Jamani

Acha tu....

Unajua data nyingine wasomaji wanamtumia kwa email...tena sometimes with evidence. ..

Nyingine anapata kwa upekupeku wake

Ila hudda akirudia nitajua kweli kapinda loh

aisee wanawake mna mambo!

Hivi huyu mmiliki wa u-turn anatoaga wapi data?

Nimeona hudda alivyoanikwa nje-ndani! lol

ENVIOUS BLOGGER: Unajua sisi kwa sasa tunawatafuta wale big fish , vi prawns kama kina Huddah hata tukiwakatamata tunaweza tukawachapa vibao tu tukawaacha. YANI Huddah is at the very bottom of the drug food chain. Yani hata yule mtu anaesimama akimsubiria apate haja kubwa aanze hesabu kete na kuziosha hatumtaki, tunaemtaka sisi ni yule jamaa anae sign check za Huddah na yule anaeshika kinyesi cha Huddah. Kwa kweli hawa wanaochutama na kujisaidia kwenye sakafu na wale wanaoshika vinyesi vyao hata tukiwapata bado tatizo litabaki pale pale…. WE WANT THE BIG FISH.

Hahahaaa! Hii blog noma!
 
Nimeisaka E-mail yake/nmna ya kuwasiliana nae nimeshindwa!
Ni-pm mawasiliano yake kama unaweza.
 
Acha tu....

Unajua data nyingine wasomaji wanamtumia kwa email...tena sometimes with evidence. ..

Nyingine anapata kwa upekupeku wake

Ila hudda akirudia nitajua kweli kapinda loh

HUddah kafanyaje ebu nipeni umbea vizur jaman
 
aisee wanawake mna mambo!

Hivi huyu mmiliki wa u-turn anatoaga wapi data?

Nimeona hudda alivyoanikwa nje-ndani! lol

ENVIOUS BLOGGER: Unajua sisi kwa sasa tunawatafuta wale big fish , vi prawns kama kina Huddah hata tukiwakatamata tunaweza tukawachapa vibao tu tukawaacha. YANI Huddah is at the very bottom of the drug food chain. Yani hata yule mtu anaesimama akimsubiria apate haja kubwa aanze hesabu kete na kuziosha hatumtaki, tunaemtaka sisi ni yule jamaa anae sign check za Huddah na yule anaeshika kinyesi cha Huddah. Kwa kweli hawa wanaochutama na kujisaidia kwenye sakafu na wale wanaoshika vinyesi vyao hata tukiwapata bado tatizo litabaki pale pale…. WE WANT THE BIG FISH.

Hahahaaa! Hii blog noma!

Hahaaaaa hapo kwa Huddah kuliniacha hoi eti kuchutuma kuna watu wanna maneno aisee.
 
Lulu anasali sana...??!?!!
Mmmxxxyyyssnz...
 
Mimi niliwapa laivu watu waliokuwa wakimtukana mange kwa huddah ni waoga wanamtukana kupitia mgongo wa huddah hahaaha jaman kama hujiamini usimchokoze yule mwanamke hahahah SHIKAMOO MANGE, sintah mwenyewe kanywea siku hizi hahahah
 
Nami niliwaaambia mbona hamkutukana kablaa mmesubiri aanze bifu na hudda mmejazana kwenye page yake,,,,wamenyweaaa barbadian kafuta post ambazo walikua wanachamba na kuomba peace chezeaa wangekua hawauzi wangekana mnoo lakin wanaambiwa ukwelii ndio maana wamefyataa
 
Halaf mange kwenye page yake kaweka video mtoto anampiga makofi mama yake anasinzia sinzia ni teja halaf akawatag woteee kina huda,shamim,barba na mboni chezeaaa mangeee cc nyamasaki nsalu
 
Last edited by a moderator:

Page yake ile ya kuuza nguo au? Ebu niambie niende mie
 
Last edited by a moderator:
Umbea fani najaribu kuunganisha matukia hata haviji..
 
Halaf mange kwenye page yake kaweka video mtoto anampiga makofi mama yake anasinzia sinzia ni teja halaf akawatag woteee kina huda,shamim,barba na mboni chezeaaa mangeee cc nyamasaki nsalu

Naomba jina la Mange insta.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1431185184039.jpg
    1431185184039.jpg
    60.7 KB · Views: 281
Khaaa mange kapinda walahhh

Naona barbadian kwini amenyosha bendera nyeupe

Halaf mange kwenye page yake kaweka video mtoto anampiga makofi mama yake anasinzia sinzia ni teja halaf akawatag woteee kina huda,shamim,barba na mboni chezeaaa mangeee cc nyamasaki nsalu
 
Last edited by a moderator:
Sinta alibiwa aseme suuuu picha zake zianikweeww....

Mimi niliwapa laivu watu waliokuwa wakimtukana mange kwa huddah ni waoga wanamtukana kupitia mgongo wa huddah hahaaha jaman kama hujiamini usimchokoze yule mwanamke hahahah SHIKAMOO MANGE, sintah mwenyewe kanywea siku hizi hahahah

Ila ukiangalia wengi wa wanaomtukana ni akaunti mpya......followera hawazidi 30...

Yaani as if walifungua special kwa mange
 
Duu hatari. Anayaweza japo mi siyo fan wake.
Halaf mange kwenye page
yake kaweka video mtoto anampiga makofi mama yake anasinzia sinzia ni
teja halaf akawatag woteee kina huda,shamim,barba na mboni chezeaaa
mangeee cc nyamasaki
nsalu
 
Last edited by a moderator:
Eti hua ana wachamba kwenye blog yake na anaachia comment za kusemwa vibaya wao kina lulu sasa kako kwa hudda kanatukana kwelii ina maaana alikua hawezi kumtukana mpaka asubiri hudaa agombane na mangee,,,

Hebu nitajie jina analotumia Lulu huko insta kwa sasa maana asubuhi niliamkia kwenye blog ya mange kama nilijua vile maana nimekuta vichambo vya kiingereza huko balaa.
 
Back
Top Bottom