Lulu: Mimi sina Jini mauti Jamani

Lulu: Mimi sina Jini mauti Jamani

Hahaaaaa hapo kwa Huddah kuliniacha hoi eti kuchutuma kuna watu wanna maneno aisee.
ufukunyuku wake huyu bi dada unatisha..
Nilimchunguza sana huddah na kugundua ana katumbo kadogo sana,
Hiyo point sasa ikawa inatumiwa kwamba anawezaje kubeba kete 500?:confused2:
Mange bhana.. Huyu dada ni mkurya?
 
Hebu nitajie jina analotumia Lulu huko insta kwa sasa maana asubuhi niliamkia kwenye blog ya mange kama nilijua vile maana nimekuta vichambo vya kiingereza huko balaa.

Lizymichael ,,,,,,
 
Hata kama ana jini maut haitoshi kutisha wanaume tusimfuate
 
Alitishwa ataumbuliwaa huyo akaharishaaa akafuta akaunti haraka mnoooo warumi

Account sijaifuta binamu, ila bado sijaanza ku post vitu, endeleen kunifolo, ni kweli nilitishiwa ila mambo yako poa nimerudi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom