TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Ni raisi sana kumlazimisha ng'ombe kwenda kisimani,na ni vigumu kumlazimisha kunywa maji!Jamani huyu mtoto angetulia akaachana na haya mambo kwanza
kesi ziishe ,aanze shule na kubadilisha system nzima ya maisha yake