Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861

Mwigizaji Maarufu wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo majira ya saa nne asubuhi amepandishwa kizimbani kwa mara ya pili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumuua Steven Kanumba. Baada ya kusomewa shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo Elizabeth Kaganda mbele ya Hakimu Rita Tarimo hakutakiwa kujibu lolote. Mwendesha Mashitaka huyo alisema upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamailika hivyo kesi hiyo iliahirishwa mpaka Mei 7 mwaka huu.

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

Source:
LULU APANDISHWA KIZIMBANI CHINI YA ULINZI MKALI - Global Publishers


 

Attachments

  • ELIZABETHMICHAELLULU1.jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU1.jpg
    50.8 KB · Views: 3,835
  • ELIZABETHMICHAELLULU2.jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU2.jpg
    37.5 KB · Views: 3,789
  • ELIZABETHMICHAELLULU3.jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU3.jpg
    42.7 KB · Views: 3,774
  • ELIZABETHMICHAELLULU4.jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU4.jpg
    31.7 KB · Views: 3,721
  • ELIZABETHMICHAELLULU5.jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU5.jpg
    32.9 KB · Views: 3,824
attachment.php


attachment.php



attachment.php



attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • ELIZABETHMICHAELLULU7 (1).jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU7 (1).jpg
    44.4 KB · Views: 2,669
  • ELIZABETHMICHAELLULU8 (1).jpg
    ELIZABETHMICHAELLULU8 (1).jpg
    75.3 KB · Views: 2,816
Huyo mdingi wake nae kapata umaarufu gafla kupitia kesi hii.
 
Huyu POLISI dume naye bana..... Kikwapa hicho bana.

Joto la Dar, pata mavitu hata ya bei nafuu kukausha KIKWAPA, heee...... Nyani Ngambu unakiona lakini

attachment.php
 
Ona anavyopendeza kwa kuvaa nguo za heshima!!! angekuwa hivi kweli mabazazi si wangempitia mbali..... too late !!
 
attachment.php


Mtoto mzuri, nguo zimempa heshima, amepungua umbo , lakini tumbo................
 
Maskini!! huyu mtoto anatia huruma sana. anatakiwa apewe msaada haraka iwezekanavyo
 
Polisi wa Bongo wanapenda sifa!!:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom