Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Elizabeth Michael@Lulu ataachiwa huru kutoka kesi inayomkabili ya mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Kanumba. Kwa taarifa toka chanzo cha ndani sana,,Serikali imeamua kumsaidia/kumbeba kutokana na mazingira ya kifo chenyewe haswa kutosababishwa na men's rea ya mtendaji ambaye ni lulu na haitakuwa jambo la ajabu cause ilishafanya hivo hata kwa Ditopile(Rip). Kinachofanywa sasa ni kubuy time tu kabla ya DPP ku Nolle Prosecue. Malumbano haya ya umri,kukosekana kwa ushahidi wa moja kwa moja na ama hoja ya kuua bila kukusudia ndiyo utakuwa mwanya wa mbeleko.