MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,707
- 21,867
Hilo hata mimi nilitaka kuuliza nikaona nisipigwe ban bure maana ukiuliza watu wamefikaje huko ni matusi, lakini all in all hongera zake. Wengine waige mfano.Hiyo n i level gani? ni Foundation Course, Certificate, Diploma au Bachelor mkuu?
Chuo cha MapenziMsanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Source ;Bongo 5
Makubwa kumbe ndiyo module zenyewe za the so-called 'Software Engineering'.Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Labda course ni rahisi sana.anafikiri hiyo kozi ni rahisi kama kula ugali na maharage?