Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

KWA STYLE YA KUKANDAMIZANA WENYEWE KWA WENYEWE SISI WATU WTZ WEUSI.....
JAMII YENYE ASILI ZA KIASIA WATAENDELEA KUTUBURUZA SANA.....
PROPERTY ZOTE NA BIASHARA ZINAZOMILIKIWA HAPA TANZANIA....FEDHA ZINATOKA KWA NDG NA JAMAA ZAO TOKA INDIA,CANADA,UK,AUSTRALIA.....NDOMANA WATAENDELEA KUUSHIKA UCHUMI WA NCHI AMBAO SISI WENYEWE KWA WENYEWE TUNALETEANA JELOUS......

OVA
 
Lukuvi anafata katiba hairuhusiwi mtu anbaye sio mtanzania au ana uraia wa nchi mbili kumiliki ardhi full stop, kama kuna mtu hajapitiwa n bahati yake au ni swala la muda tuu haujamfikia, haiwezekan watu wote wakajulikana kwa wakat mmoja.
Watanzania vigeugeu, viongoz wakifata sheria mnalalamika, wasipofata mnalalamika mbona hatuelewek
 
Mgeni yupi, hapa tunaongea wazawa, iwe hata alijiripuwa nje, ni wazawa wa Tanzania
Kama ulizaliwa Tanzania au baba yako ni mtanzania lakini ukawa umechukua uraia wa nje, una haki ya kupata uraia wa Tanzania. Lakini kwanza uukane huo uraia mwingine. Hapa hamna mjadala mpaka hapo sheria itakapo badilika.
 
Zamani Chadema walikuwa wakijenga hoja unajua ni kwa maslai ya nchi.

Siku hizi hoja nyingi wanazozitetea ni kwa maslai ya viongozi wao Na matumbo yao.

Kifupi hoja za wanachadema kwa sasa haziaminiki.!
CHADEMA imetokea wapi hapa?
 
Sasa hayo makongamano yao ya wana diaspora walikua wanayafanya ya nini kama sio wizi mtupu?? Walikuwa wanahimiza watu wawwkeze home then wanakuja hawa wajinga wengine wanaongea upupu tu bila hata kujiuliza!! Kuna hata hotuba ya JK anasisitiza watu wajenge TZ , hili li nchi maendeleo sidhani kama yatakuja labda kwa roho mtakatifu
 
Ndug yang watu wamepata fundisho hakuna mtu mwenye akili timamu sasa hivi akaja kuwekeza TZ hasa ma-diaspora utakuwa umerukwa na akili .

Kuna watu walikuwa na uone mapema sn kuhusu Tanzania (few diaspora)walikuwa wanasema NCHI ya TZ ni unpredictable ..sasa ndio nimeelewa .
 
Nalikumbuka hili sijui watasema nini hawa wajiitao. .....

Ndug yang watu wamepata fundisho hakuna mtu mwenye akili timamu sasa hivi akaja kuwekeza TZ hasa ma-diaspora utakuwa umerukwa na akili .

Kuna watu walikuwa na uone mapema sn kuhusu Tanzania (few diaspora)walikuwa wanasema NCHI ya TZ ni unpredictable ..sasa ndio nimeelewa .
 
Hii kitu inaumiza akili sn watu walio NNJE watu wana lalamika sn kuhusu haya maswala ya umiliki ardh ,au shamba na nyumba.

Watu wamejituma sn ktk maisha yao huko Nje ili wajiwekeze vizuri makwao tena kwa hela halali kabisa ya jasho lao ...

Anatokea MTU mmoja anasema huna haki hapa Tanzania ya kumiliki chochote .
 
Huu ni ujinga kabisa ma misafara yalijaa crdb, nssf, ppf, watu wamefungulishwa ma accs wameweka madolari wamenunua viwanja anakuja mjinga mmoja anaongea utumbo tu kwa ajili ya chuki na wivu.. Sasa nasema hili jambo litawaondoa ccm madarakani come 2020 wasiwafanye watz ni wajinga!! Wanavamia kila issue kijinga jinga tu!
 
Kaka usipanic ma-daispora wote wana akili ndio maan walikwenda abroad kutafuta maisha hawa viongozi wengi ni.. Zero minus hawana hoja yoyote

Mnacho takiwa kujikusanya wote ma-diaspora mlio nunua viwanja ,nyumba au uwekazi wowte pale Ndani ya Tanzania .
Na kuita conference pale pale Tanzania na kumtaka Former President JAKAYA MRISHO KIKWETE kuja kutoa maelezo ya kina juu ya swala hili na hakika hakuna kitu kinashindikana sabubu Jk ni kiongozi sio mtawala .

Huu ni ujinga kabisa ma misafara yalijaa crdb, nssf, ppf, watu wamefungulishwa ma accs wameweka madolari wamenunua viwanja anakuja mjinga mmoja anaongea utumbo tu kwa ajili ya chuki na wivu.. Sasa nasema hili jambo litawaondoa ccm madarakani come 2020 wasiwafanye watz ni wajinga!! Wanavamia kila issue kijinga jinga tu!
 
Nchi yenyewe imejaa raia wenye majungu na wivu diaspora waliojenga na kupangisha au wenye viwanja vyao vya kujenga wanaona huyu bwana kama anawashawishi wapangaji au ndugu na jamaa wakawa chongee yaanze mambo mengine kabisa wakati wana stress za kutosha kuwa mbali na makwao.

Kama una dili na wahamiaji aina haja ya kuropoka ovyo kauli ambazo zimewapa watu taharuki huko kwenye ma what's up group.
 
Hivi hamna mtu mwenye CV ya Lukuvi toka primary mpaka hapo alipo ili mtumchambue and then tumtumbue kabisa huyu mtu.. hii sio akili ya mtu ambae ana wadhifa mzito hivyo serikalini.. CV please.
 
Hivi karibuni waziri Lukuvi amemfutia mfanya biashara mmoja Huko Mwanza mali zake kutokuwa mmiliki halali kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lakini ameshindwa kutoa uthibitisho kuwa sio raia wa Tanzania, wakati mmiliki ana hati halali za kuzaliwa Tanzania na ana familia Tanzania.

Tatu ameshutumu watanzania kuomba uraia nje na kuja Tanzania kama watanzania na ku miliki mali kama nyumba, viwanja na biashara, hujui kuwa hawa ni watanzania halali walio enda nje kutafuta riziki halali na kujikomboa katika umasikini ambao uliopaliliwa toka tupate uhuru na serikali yako.

Viongozi hamuoni ufahari watanzania hao walivyopata mafanikio huko ughaibuni na kuja kuwekeza kwao, halafu kwa unafiki wenu, munaanzisha makongamano ya wana diaspora.

Viongozi na uraia pacha

Wako walikuwa maofisa wa ubalozi na mabalozi wenye uraia wa nje na familia zao ndani ya serikali yako, kama serikali na kama wewe waziri anza kwa watumishi wa mabalozi huko nje, na mabalozi na walio kuwa mabalozi.

Na wengine wako Zanzibar ndani ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama mawaziri na wajumbe wa baraza la wakilishi, tena wanaishi kinyume na taratibu za uhamiaji.

Msiwakandamize wananchi wa kawaida tu kwa cheo chenu
Hivi wanapozungumza uchumi unaotokana na Diaspora wanafikiri ni watu gani. Nchi kama Kenya inaiingiza mamilioni ya pesa kwa sababu ya diaspora na wengi ni wale walio na uraia wa nchi za nje lakini ni Wakenya. Mtanzania kupata uraia wa nje lakini bado anakuja kuwekeza hapa nchini ule uraia ni makaratasi ya kuishi lakini moyo wake uko Tanzania, ndugu zake wanapelekwa shule, watanzania wanapata kazi, hawa watu wanalipa kodi kwa pesa wanazotuma na zingine wanazoweka banki za Tanzania, wanalipa kodi kwa property taxi. Wanacreate nafasi ili watu wengine waajiliwe wakati wakiwa wameajiriwa nchi
 
Back
Top Bottom