Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

shickland

Senior Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
143
Reaction score
125
Hivi karibuni waziri Lukuvi amemfutia mfanya biashara mmoja Huko Mwanza mali zake kutokuwa mmiliki halali kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lakini ameshindwa kutoa uthibitisho kuwa sio raia wa Tanzania, wakati mmiliki ana hati halali za kuzaliwa Tanzania na ana familia Tanzania.

Tatu ameshutumu watanzania kuomba uraia nje na kuja Tanzania kama watanzania na ku miliki mali kama nyumba, viwanja na biashara, hujui kuwa hawa ni watanzania halali walio enda nje kutafuta riziki halali na kujikomboa katika umasikini ambao uliopaliliwa toka tupate uhuru na serikali yako.

Viongozi hamuoni ufahari watanzania hao walivyopata mafanikio huko ughaibuni na kuja kuwekeza kwao, halafu kwa unafiki wenu, munaanzisha makongamano ya wana diaspora.

Viongozi na uraia pacha

Wako walikuwa maofisa wa ubalozi na mabalozi wenye uraia wa nje na familia zao ndani ya serikali yako, kama serikali na kama wewe waziri anza kwa watumishi wa mabalozi huko nje, na mabalozi na walio kuwa mabalozi.

Na wengine wako Zanzibar ndani ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama mawaziri na wajumbe wa baraza la wakilishi, tena wanaishi kinyume na taratibu za uhamiaji.

Msiwakandamize wananchi wa kawaida tu kwa cheo chenu
 
Hivi karibuni waziri lukuvi amemfutia mfanya biashara mmoja Huko Mwanza mali zake kutokuwa mmiliki halali kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lakini ameshindwa kutoa uthibitisho kuwa sio raia wa Tanzania, wakati mmiliki ana hati halali za kuzaliwa Tanzania na ana familia Tanzania.

tatu ameshutumu watanzania kuomba uraia nje na kuja Tanzania kama watanzania na ku miliki mali kama nyumba, viwanja na biashara, hujui kuwa hawa ni watanzania halali walio enda nje kutafuta risk halali na kujikomboa katika umasikini ambao ulio paliliwa toka tupate uhuru na serikali yako.

Viongozi hamuoni ufahari watanzania hao walivyo pata mafanikio huko ughaibuni na kuja kuwekeza kwao, halafu kwa unafiki wenu ,munaazisha makongamano ya wana diaspora.

Viongozi na uraia pacha

Wako walikuwa maofisa wa ubalozi na mabalozi wenye uraia wa nje na familia zao ndani ya serikali yako , kama serikali na kama wewe waziri anza kwa watumishi wa mabalozi huko nje,na mabalozi na walio kuwa mabalozi.

Na wengine wako zanzibar ndani ya serikali ya mapinduzi ya zanzibar kama mawaziri na wajumbe wa baraza la wakilishi, tena wanaishi kinyume na taratibu za uhamiaji.

Musiwakandamize wananchi wa kawaida tu kwa choyo chenu
Inasikitisha sana kuona waziri mzima anakurupuka na kukusaga meno !! hajui kuwa Waziri wa mambo ya Nje wa TZ, Aliishi nje kwa muda mrefu , bila shaka pia ana uRaia wa nje, Watoto wengi wa vigogo walienda kusoma na wakachukuwa uraia wa nje na kubaki na uraia wa TZ ndani ya kapu !!
Mwekezaji ameshahemea na kununua ardhi kwa capital yake yote na kesha amauwa kujenga humuhumu nchini... "ati unamnyang'anya ardhi" Khaaah arudi huko uzunguni(ughaibuni mtupu) ha ha ha ha ha... Basi msikaribishe INVESTORS !!
acheni ujambazi wa kisiasa ....!!
 
Lukuvi ni mzigo kwa serikali hii ya awamu ya tano!! Ama hajui sheria au hajaisoma vizuri sheria na hili suala ndio litakalomuondoa hapo alipo... watch this space!!
 
Zamani Chadema walikuwa wakijenga hoja unajua ni kwa maslai ya nchi.

Siku hizi hoja nyingi wanazozitetea ni kwa maslai ya viongozi wao Na matumbo yao.

Kifupi hoja za wanachadema kwa sasa haziaminiki.!
 
Hivi karibuni waziri Lukuvi amemfutia mfanya biashara mmoja Huko Mwanza mali zake kutokuwa mmiliki halali kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lakini ameshindwa kutoa uthibitisho kuwa sio raia wa Tanzania, wakati mmiliki ana hati halali za kuzaliwa Tanzania na ana familia Tanzania.

Tatu ameshutumu watanzania kuomba uraia nje na kuja Tanzania kama watanzania na ku miliki mali kama nyumba, viwanja na biashara, hujui kuwa hawa ni watanzania halali walio enda nje kutafuta riziki halali na kujikomboa katika umasikini ambao uliopaliliwa toka tupate uhuru na serikali yako.

Viongozi hamuoni ufahari watanzania hao walivyopata mafanikio huko ughaibuni na kuja kuwekeza kwao, halafu kwa unafiki wenu, munaanzisha makongamano ya wana diaspora.

Viongozi na uraia pacha

Wako walikuwa maofisa wa ubalozi na mabalozi wenye uraia wa nje na familia zao ndani ya serikali yako, kama serikali na kama wewe waziri anza kwa watumishi wa mabalozi huko nje, na mabalozi na walio kuwa mabalozi.

Na wengine wako Zanzibar ndani ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama mawaziri na wajumbe wa baraza la wakilishi, tena wanaishi kinyume na taratibu za uhamiaji.

Msiwakandamize wananchi wa kawaida tu kwa cheo chenu

Una facts wewe au unaropoka tu?
 
Zamani Chadema walikuwa wakijenga hoja unajua ni kwa maslai ya nchi.

Siku hizi hoja nyingi wanazozitetea ni kwa maslai ya viongozi wao Na matumbo yao.

Kifupi hoja za wanachadema kwa sasa haziaminiki.!

Umechanganyikiwa? Hii mada sijaona neno Chadema wala jina la kiongozi wa Chadema.
 
naona yaliyotokea pale B.O.T kwa mywife wake hasira zote anazihamishia huku kwenye field yake,kaaazi kwelikweli
 
Aje hapa aseme alisoma wapi na wapi!! Pia apige mjadala wa elimu yake! Nyambafu....wewe ni Lukuvi umejipa ID tofauti! Shule nehi mulee!! Uchawi na ndumba tuu

Ndiyo maana mtabaki wapinzani milele
 
Back
Top Bottom