shickland
Senior Member
- Dec 7, 2015
- 143
- 125
- Thread starter
- #61
MkuuHivi wanapozungumza uchumi unaotokana na Diaspora wanafikiri ni watu gani. Nchi kama Kenya inaiingiza mamilioni ya pesa kwa sababu ya diaspora na wengi ni wale walio na uraia wa nchi za nje lakini ni Wakenya. Mtanzania kupata uraia wa nje lakini bado anakuja kuwekeza hapa nchini ule uraia ni makaratasi ya kuishi lakini moyo wake uko Tanzania, ndugu zake wanapelekwa shule, watanzania wanapata kazi, hawa watu wanalipa kodi kwa pesa wanazotuma na zingine wanazoweka banki za Tanzania, wanalipa kodi kwa property taxi. Wanacreate nafasi ili watu wengine waajiliwe wakati wakiwa wameajiriwa nchi
Umeongea points kabisa...