Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Hujui unachoongea wewe, Hiyo ni RAV ya mwaka gani? Brand new pamoja na kodi 40 millions? Kuwa serious kidogo.

Kama report ya CAG inaonyesha tu tkt za ndege zimezidishwa mara 16 na bado mawaziri husika bado hawajawajibishwa ....na bado wananchi tunawaangalia tu!!!nchi hii bwana

Wanaloga sana mkuu. Hahahahahaaaaaa! Hayo mapete ya kina Pinda wanayashika shika wakati wa kusoma budget zao ndiyo kazi zake nasikia. Unacharuka weeeee mwisho ni kimyaaaa!
 
Kwa peya ya madafu inaweza kuwa 60,000,000/=. Na hiyo 20,000,000/= inaenda wapi ? Tutakuwekea kwenye simu yako Mzee.

Mie nimeelezea bei ya gari kwahiyo inayobaki wanajua akina Lukuvi
 
wewe unabishana na watu waliowahi kununua magari mapyaa....si ajabu hata hujawah kukaa siti ya dereva sembuse kuendesha bwana mdogo.....tulia kuna mengi yakujifunza

josefast,kwenye hiyo bei yenu mmeongeza na cha juu ambacho kwa udogo kinatakiwa kiwe mara 16 bei yake ya kawaida?Kumbuka CAG amekuta manunuzi ya tiketi za ndege 56% bei yake ni mara kumi na sita zaidi ya bei yake ya kawaida.Na hii ni kutokana na ripoti ya CAG,hivyo usimkatalie kwani huyo ndiyo wale wale wenye malengo yale yale.
 
Kama report ya CAG inaonyesha tu tkt za ndege zimezidishwa mara 16 na bado mawaziri husika bado hawajawajibishwa ....na bado wananchi tunawaangalia tu!!!nchi hii bwana

Yaani wakati watu wanapigia makelel matumizi mabaya ya pesa za serikali makada wa chama wanashangilia na hadi kutukana wanaopinga mtumizi yao.Leo nimeipata baada ya kuweka hoja ya wizi wa serikali nikaambulia kuitwa MHUNI na makada.Sijui kama tutafika kama hata wale makada wasio na hata uwezo mkubwa kuwaita watetezi wa mali za umma majina ya hovyo.
 
Nikosa kwa taasisi kutaja brand kabla ya mchakato wa tenda.
 
Mbona hukufuatilia zile FUSO mbili Chakavu walizouziwa CHADEMA kwa milioni 668. ?

Kwani hizo RAV 4 ni kwa ajili ya matumizi ya serikali au ya CCM?kama ni ya serikali basi ujue itafuatiliwa kwa uhakika wa bei isije ikawa mara 16 ya bei ya kawaida.Kama ni ya CCM it is none of our business ni sawa na FUSO za CHADEMA ni none of our business.
 
President Kikwete was exchanging a
Word with the Queen of
England.......
"Your Majesty, how do you run
such an efficient government?
Are there any tips you can give
me?"
"Well," said the Queen
"The most important thing is to
surround yourself with intelligent
people."
Kikwete frowned, and then asked,
"But how do I know if the people
around me are really intelligent?"
The Queen took a sip of
champagne.
"Oh, that's easy; you just ask them
to answer an intelligent riddle,
watch"
The Queen pushed a button on her
intercom.
"Please send Tony Blair in here,
would you?"
Tony Blair walked into the room
and said,
"Yes, your Majesty?"
The Queen smiled and said,
"Answer me this please Tony.
Your mother and father have a
child.
It is not your brother and it is not
your sister.
Who is it?"
Without pausing for a moment,
Tony Blair answered…
"That would be me."
"Yes! Very good." said the Queen.
Kikwete went back home to ask his
Excellency Pinda the same
question.
"Pinda, answer this for me."
"Your mother and your father have
a child.
It's not your brother and it's not
your sister.
Who is it?"
"I'm not sure," said Pinda.
"Let me get back to you on that
one."
He went to his advisors and asked
everyone, but none could give him
an answer.
Frustrated, Pinda went to work-out in a
parliamentary gym and saw Tindu Lissu
there.
Pinda went up to him and asked,
"Hey Lissu, see if you can answer
this question."
"Shoot Pinda."
“Your mother and father have a
child and it's not your brother or
your sister.
Who is it?"
Tindu Lissu answered,
"That's easy, it's me!"
Pinda smiled, and said, "Good
answer Lissu!"
Pinda then, went back to speak
with President Kikwete.
"Say, I did some research and I
have the answer to that riddle."
"It's Tindu Lissu!"
Kikwete got up, stomped over to
Pinda, and angrily yelled into his
face,
"No! You idiot! It's Tony Blair!
 
President Kikwete was exchanging a
Word with the Queen of
England.......
"Your Majesty, how do you run
such an efficient government?
Are there any tips you can give
me?"
"Well," said the Queen
"The most important thing is to
surround yourself with intelligent
people."
Kikwete frowned, and then asked,
"But how do I know if the people
around me are really intelligent?"
The Queen took a sip of
champagne.
"Oh, that's easy; you just ask them
to answer an intelligent riddle,
watch"
The Queen pushed a button on her
intercom.
"Please send Tony Blair in here,
would you?"
Tony Blair walked into the room
and said,
"Yes, your Majesty?"
The Queen smiled and said,
"Answer me this please Tony.
Your mother and father have a
child.
It is not your brother and it is not
your sister.
Who is it?"
Without pausing for a moment,
Tony Blair answered…
"That would be me."
"Yes! Very good." said the Queen.
Kikwete went back home to ask his
Excellency Pinda the same
question.
"Pinda, answer this for me."
"Your mother and your father have
a child.
It's not your brother and it's not
your sister.
Who is it?"
"I'm not sure," said Pinda.
"Let me get back to you on that
one."
He went to his advisors and asked
everyone, but none could give him
an answer.
Frustrated, Pinda went to work-out in a
parliamentary gym and saw Tindu Lissu
there.
Pinda went up to him and asked,
"Hey Lissu, see if you can answer
this question."
"Shoot Pinda."
“Your mother and father have a
child and it's not your brother or
your sister.
Who is it?"
Tindu Lissu answered,
"That's easy, it's me!"
Pinda smiled, and said, "Good
answer Lissu!"
Pinda then, went back to speak
with President Kikwete.
"Say, I did some research and I
have the answer to that riddle."
"It's Tindu Lissu!"
Kikwete got up, stomped over to
Pinda, and angrily yelled into his
face,
"No! You idiot! It's Tony Blair!

Nimeipenda hii
 
Mambo km hayo ya kukwaPUA PESA za UMA ndo yanawafanya wafikirie hata kuALIKA JESHI wanapohisi maslahi yao yako mashakani....! Cjui kwanini hawalidhikiki....! au wanadhani wakifa wataondoka MALI? duh....!
 
Mkuu majibu rejareja ya Lukuvi hadi nimeinama chini!!! Tangu lini magari ya serikali yanalipiwa kodi? Halafu hakuna hata mbunge mmoja amesimama kupinga ili hali wanajua kuwa serikali hailipi kodi!!! Hii itakuwa ni model ya mwaka 2030!! Kazi ipo.

Mkuu serikali inalipa kodi tena zote, kisicholipiwa ni bima na leseni ya barabarani
 
Kwenye ofisi ya waziri mkuu wametenga mil80 ya kununua gari ya mkuu wa idara aina ya RAV 4 mil80, Lukuvi akajibu wameweka hiiyo kwa kujumlisha na kodi.

Kwani magari ya serikali yanalipiwa kodi wakuu?

thaman ya hiyo gari ndo inatumika ofis ya mtoto wa mkulima,,,,sijui ofis za akila NYARA-NDOO
 

  • 2014 Toyota RAV4

More Photos »
Avg. Paid:$23,657 - $29,549
MSRP:$23,550 - $29,720
Invoice:$22,020 - $27,787
MPG:24 City / 31 Hwy



Twende kazi.

Tuchukue kuwa Wastani wa Bei ya RAV4 mpya ni 30,000 USD X 1,650 Tshs = Tshs. 49,500,000/= Kwa kawaida Serikali huwa hailipi VAT ambayo ni 18%. Ndiyo maana magari ya Serikali yakipigwa MNADA inabidi mnunuzi akalipie VAT kwa ofisi za TRA. Hivo basi bei halali ya RAV4 mpya toka Japan kiwandani haiwezi kuzidi Tshs. 50,000,000(50 millions) pamoja na CIF.

Tukisema tuongeze na VAT 18% ya Tshs.49,500,000 tunapata Tshs.8,910,000. Ukijumlisha hii kwenye gharama ya ile 49,500,000+8,910,000=58,410,000.Hivo pamoja na VAT bei haitazidi Tshs. 60,000,000/=!
Hapa LUKU-V-oltage amelidanganya Bunge. Aseme hii tofauti ya Shilingi milioni 30 bila VAT au milioni 20 pamoja na VAT inakwenda wapi......?????

Lakini utashangaa mibunge ya CCM imekaa kimya tu bila ya kuhoji kwanini Bei ya RAV4 inakaribia Bei ya Shangingi moja????Hapa lazima kuna harufu ya Ufisadi.
 
Nikosa kwa taasisi kutaja brand kabla ya mchakato wa tenda.

Ni kosa kutaja brand kwenye tendering process. pale ni kwenye bajeti ambapo saa nyingine brand inasaidia kuwaelewasha watu kirahisi aina ya kitu unachokitaka.
 
RAV 4 brand new from the manufacturer ndio bei yake hiyo. Wengi wenu mnadhani serikali inanunua magari chakavu.

OK,INAWEZEKANI...

2015 Volvo XC60

$49,800.00

The standard features of the Volvo XC60 T6 R-Design Platinum include 3.0L I-6 325hp engine intercooled turbo, 6-speed automatic transmission with overdrive, 4-wheel anti-lock brakes (ABS), integrated navigation system, SIPS side seat mounted airbags, curtain 1st and 2nd row overhead airbags, airbag occupancy sensor, automatic air conditioning, 20" aluminum wheels, cruise control, ABS and driveline traction control.
 
2014 RAV4 4x4 msrp = $25,000

Je za serikali zinalipiwa kodi hilo ndio swali la kuuliza. Usafiri kutoka Japan mpaka Dar ni wastani $1500 ila kama wananunulia Dar inaweza kuwa na Mark up kidogo ya muuzaji wa Dar? Ila 80M zinawezakuwa nyingi, swali la msingi hapa je serikali hulipa kodi kwenye manunuzi yake? na inamlipa nani kodi? kwani fedha za kodi ndizo mapato ya serikali.

Lukuvi kadanganya na kuficha wizi au kashiriki wizi.
 
Back
Top Bottom