Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

Ndio kwa sababu magari haya hayanunuliwi na Serekali moja kwaa moja , ila ni tender inatangazwa na maakmpuni binafsi wanaleta huo mzigo.
Kama serikali inalipa kodi kwanini magari ya miradi inayofadhiliwa na wahisani mengine yasajiliwe kwa DFP na Mengine number za kilaia- kama T...ABC.Ndugu -Kuwa mwanaccm haina maana utetee hata ujinga kwa kujitoa ufahamu.SERIKALI INAJILIPA KODI-ikate basi na road licence.
 
da aisee sasa hawa watu kama akina Lukuvi huko kwenye baraza la mawaziri huwa wanamshauri nn JK??maana jamaa anaongea utumbo kila siku aisee
 
da aisee sasa hawa watu kama akina Lukuvi huko kwenye baraza la mawaziri huwa wanamshauri nn JK??maana jamaa anaongea utumbo kila siku aisee

Kwakwel yaan uyu baba hata Kama Ndo kaz Yake kuitetea Serikal bungen siyo kwa style hii jamaa ni mtupu sn kichwan,Iyo rav 4 Yake ya 80M jinsi alivyoitetea Ndo kaharib kabisa ba kaonesha ukilaza wake.sijui kwakwel wanamshaur nin jk kwakwel.
 
Mkuu Sheria za kodi unazijua?Unajua gari inalipiwa kodi wakati gani au ndo mahaba ya kichama yanakuendesha?

Halafu magari ya serekali hayalipiwi kodi sasa kama hata kitu kodogo kama hiki ni vigumu kueleweka hii nchi kweli itasonga mbele.
 
Bei ndogo sana hiyo kwa rav 4 ya mwaka 2014 subirini bajeti ya wizara ya nishati wametenga hizo nyiingiii kwa ajili ya umeme
 
Halafu magari ya serekali hayalipiwi kodi sasa kama hata kitu kodogo kama hiki ni vigumu kueleweka hii nchi kweli itasonga mbele.
Nimekugongea 'like' mkuu MANI kama kielelezo kwako kuonyesha kuwa umelitambua tayari tatizo letu kama nchi!

 
Hapa uk Ni Paund £23,000 kwa mpya ya mwaka 2014.

Ni sawa lakini haileti maana kama waziri mkuu ananunuliwa gari la 80m wakati akina mama wajawazito wanakosa vitanda mahospitalini. watanzania wengine hata mlo moja hawapati kwa kweli ni afrika ndio mambo haya hufanyika. nadhani gari alilonalo kwa sasa linamtosha kukaa nalo hata miaka kumi. kwasababu huwa yanakuwa magari mapya hakuna sababu ya kutenga mamilioni kununua magari kila mwaka. Tanzania alienacho anacho, na maskini ni maskini kweli. ni muda wa viongozi sasa kutumia magari yao binafsi kwenda makazini wawe wanalipwa japo pesa kidogo ya mafuta mwisho wa mwezi.

Kama waziri mkuu ananunuliwa gari la milioni 80, hapo bado mawaziri/naibu waziri, wakuu wa mikoa/wilaya bado idara za serikali kweli Wadanganyika hawawezi kukombolewa mpaka hivi vizazi vya ss viondoke kabisa na watoto wao

SEB5882DEF__mid.jpg
 
Kama report ya CAG inaonyesha tu tkt za ndege zimezidishwa mara 16 na bado mawaziri husika bado hawajawajibishwa ....na bado wananchi tunawaangalia tu!!!nchi hii bwana
 
Asante Mzee wa data.

Tiba

Halafu yeye huwa haongei sana anawarushia muhangaikenazo yeye anaendelea na mengine. Safi sana Mzee Safari tunakukubali kwenye data.
 
Nimekugongea 'like' mkuu MANI kama kielelezo kwako kuonyesha kuwa umelitambua tayari tatizo letu kama nchi!


Uelewa ndio tatizo na hii ni kutokana na mfumo wa elimu na ndio ccm wanataka iwe hivyo hivyo.
 
da aisee sasa hawa watu kama akina Lukuvi huko kwenye baraza la mawaziri huwa wanamshauri nn JK??maana jamaa anaongea utumbo kila siku aisee

The problem is with you buddy. You're expecting TOO MUCH from a STD VII leaver who turned to be a Universal Primary Education (UPE) teacher.
 
RAV 4 brand new from the manufacturer ndio bei yake hiyo. Wengi wenu mnadhani serikali inanunua magari chakavu.

wewe unabishana na watu waliowahi kununua magari mapyaa....si ajabu hata hujawah kukaa siti ya dereva sembuse kuendesha bwana mdogo.....tulia kuna mengi yakujifunza
 
alivyo wa hovyo eti na kodi,hivi mawaziri wengine wana akili au???? yaani mpaka unamuona mtu mzima hovyoooo
 
Mmmmmmmmmmmmm! ngoja nichanganye na za kuambiwa...............!!!!!!!!!
 
hawa ni wendawazim kweli kwani lazima wachukuwe new model!
ambayo hata wakubwa kuliko wao japan hawaendishi au ndio penye miti amna wajenzi :embarassed2:
 
Nimegugo bei ya Rav4 Mpya ya mwaka 2014 yani 0km ni 25,000us$ hyo ni CIF kwa madafu ni kama 40mils kwakuwa gari za serikali hazina kodi kwahyo bei yake itakua max 40mils...Lukuvi kuwa makini watz wa sasa sio wale wa miaka ya nyumba watz wa sasa ni wa kidigitale yani wanagugo tu na hiyo ni bei ya Toyota kwenyewe.
 
Back
Top Bottom