Sasa ina maana Waziri mzima hata hajui kama tuna mkataba na SA wa kubadilishana wafungwa au la? And he is dumb enough to talk about this in front of the media and he miraculously get away with it.....waandishi hatuna kabisa!
.......endapo kuna mkataba wa ubadilishana wafungwa Serikali itaangalia njia ya kuwasaidia ili watumikie vifungo vyao nchini.
source; TheChoice
-The value of the consignment itself shows these were no ordinary drugs R426 million!Nimeshangaa sana kwasababu habari zilizopo katika magazeti ni kupatikana na dawa aina ya Methamphetamine na siyo ephedrine.
[/FONT][/SIZE]
Yaani hapo kwenda pamoja na.yote kwenda kuhakikisha wanapata haki zao?????!!!!!
Itabidi sasa aende kote ulimwenguni waliko Watanzani wenye kesi kama hii ili kuhakikisha wanapata haki zao!!!!!
Kweli hapa kwa mambo kama haya tutegemee ushindi!!!!!??????
Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Kwa maelezo hayo hapo kesi hakuna na wanachofanya akina Lukuvi na serikali ni kuwaokoa hao mabinti kwani mzigo huo inaonyesha ni wa kwao, Ref ziara ya JK South baada ya kukamatwa hao mabinti.
Yaani hapo kwenda pamoja na.yote kwenda kuhakikisha wanapata haki zao?????!!!!!
Itabidi sasa aende kote ulimwenguni waliko Watanzani wenye kesi kama hii ili kuhakikisha wanapata haki zao!!!!!
Kweli hapa kwa mambo kama haya tutegemee ushindi!!!!!??????
It remains a mystery whether JK used his own money to cover the cost of rehabilitating Ray C a drug addict. It goes without saying that our government contributes to the growth in the number of Tanzanians involved in illegal drugsKuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Kumbe ndiyo maana anaenda California (Marekani) kule alikokamatwa mtanzania na cocaine mwaka jana.....Duh, Kikwete kweli ni doctor....yaani anaona mbali sana na ana uchungu sana na raia wake wanaotafuta utajiri wa haraka haraka kupitia kwa Ritz1 na kundi lake. Nani aliyesema ikulu hakuna biashara?
Kuna haja gani kwa serikali kuingia gharama kupeleka maofisa wake sehemu husika kwa watu wanaojihusisha na madawa???
Super star wetu lazima apewe msaada