Lukuvi: Heko Kamuhanda kwa Kazi Nzuri!

Lukuvi: Heko Kamuhanda kwa Kazi Nzuri!

kumbe mauaji ya Mwangosi yalipangwa na kina Lukuvi waandishi tuungane katika kupigia kelele jambo hili.
Umeongea jambo la msingi sana,ni vyema vyombo vyote vya habari kuanzia sasa kuandika mfululizo kadhia hiyo ya mauaji ya Mwangosi,na matukio ya kutekwa kwa Dr Ulimboka na Kibanda,hadi kuhakikisha,wahusika wote wanatiwa mbaroni.

Ikiwa wao CCM wanajivunia bunduki na mabomu ya poliCCM,ambayo yanatumika sana hivi sasa kuendelea kuwaweka madarakani.

Nasi waandishi wa habari,kwa kutumia silaha yetu kuu,ambayo ni kalamu,tuna wajibu muhimu sana,kuliko kipindi chochote,tokea tupate uhuru wetu,zaidi ya miaka 50 iliyopita,kuhakikisha kuwa tunawakomboa wananchi wananchi wanyonge wa nchi hii,kutoka kwenye mikono ya hawa madhalimu wakubwa,CCM!!
 
Hii kauli sio nzuri ambao bado tunamlilia Daud Mwangosi, ndo maana Ambwao ameweka wazi Lukuvi anawatumia polisi kisiasa sasa anawapongeza wauaji wa Mwangosi jamani tumweleweje?

Dah! Sikuamini kile nilichokuwa nakisikia. Hata kama anajua huyo kamanda anafanya kazi vizuri, kwa kujua ziko picha zinazomtuhumu asingekuwa na sababu ya kuzungumza yale aliyoyazungumza. Angeweza kwenda kumpongeza kwa siri. This is amazing.:twitch:
 
Huu ni uchochezi wa kiwango cha hali ya juu sana. Kama ikitikea reaction mbaya na uvunjifu wa amani Ilinga kutokana kauli hizi basi Lukuvi must be responsible. Hivi hawa watu kiburi hiki na ujasili wa kuyasema hsya wanautoa wapi?
 
Kweli ukitazama picha ya maiti ya Marehemu Mwangosi,ambayo nina uhakika mke wake,watoto wake,ndugu zake,marafiki,jirani na sisi wote tumeiona na hata tusiomjua Mwangosi tunahuzunika kwa kifo cha aina hiyo kwa mtu aliyekuwa akitimiza majukumu yake ya kutuhabarisha.
Sasa leo waziri mwenye dhamana kubwa na ndiye Mbunnge kutoka maeneo hayo anasimama Bungeni na kwa fahari kubwa anamsifu mtu anayetajwa kusimamia zoezi la kusambaratisha kabisa mwili wa Mwangosi kuwa huyo ndio kidume ndio maana hotuba ya upinzani kurasa tatu nzima zinamtaja Kamuhanda jee hawa nilio wataja hapo juu wanakuwa katika hali gani. Hebu waandishi wa magazeti na wengineo hili jambo liwekeni vizuri watu wote walione bila kificho,na mtakuwa mmemuenzi mwenzenu.
 
Jamani ni ULEVI gani huu wa madaraka anaotuonyesha Lukuvi???

Yani lukuvi ameshindwa kuzuia ulevi huu kudhihirika hadharani kiasi hichi??

Kauli ya Lukuvi bungeni ni kauli ya ccm, hivyo basi kama ambavyo Lukuvi anapongeza ubakaji wa haki ya kuishi na haki nyingi za msingi zilizovunjwa na Kamanda Kamuhanda watanzania tunapaswa kuamini kua ccm inatumia polisi kuua na kuvunja haki za kila mtanzania mwenye mawazo tofauti na CCM.

Hakika ushetani wa ccm unazidi kudhihirika mbele ya dunia tena kwa kupitia vinywa vya waasisi wa ushetani husika unaofanyika hapa tanzania kupitia serikali ya ccm na makada wake kama huyu Lukuvi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mungu nakushukuru sana,kwani kabla jua halijazama wanafiki wameanza kufichuka
 
kaluli ya Lukuvi itamtokea puani
kamanda ana husika au kushukiwa na mauaji ya Mwangosi kila mtu anajua
Kitendo cha Lukuvi kumpongeza nae ahusishwe ktk shtaka la mauaji.
shame on him.
 
Kwanza naomba nitofauitane na nyie wote mnaompinga bwana Bill Lukuvi juu ya issue hii ya kumpongeza Kamuhanda, Lukuvi is right cause yote yanayotendwa na Kamuhanda plus other policemen/police force hua wanatumwa, mlitaka asimpongeze mtu anayefanyia kazi maelekezo yao? Guys why are not serious, Chiku ameisha sema humu jamvini na Bungeni, tunacho shangaa hapa ni nini? Narudia, Lukuvi is right cause Kamuhanda and other people from police force wanafanya kazi walioelekezwa vizuri, off course hata suala la Ulimboka, Dr. Harrison Mwakyembe na sumu iliopo mwilini mwake, Absalome Kibanda n. k
 
anampongeza kwa hiki

943645_397825230330664_1760656867_a.jpg
 
UUUUUUUUUUUUwiiiiiiiiii......otate naneeeee!!!yaani Lukuvi hata kama elimu yako ni ya upe ndio ufanye mambo kama haya kweli??kweli??umevimbiwa na madaraka kiasi hiki kweli??kweli??unamsifia muuaji kamuhanda kweli??kweli??
Haki ya nani Mungu hamfichi mnafiki na leo tumejua hii mipango miovu ipo na inaratibiwa na masisiem!!!!
Nalia kwa uchungu juu ya hawa majangili.....Laana hii itawatafuna ipo siku....
 
Kwa jinsi hili suala la Mwangosi,alivyolivurunda Lukuvi leo bungeni, hata wale die hard propagandists wa Lumumba,akina Zemarcopolo, bungeni,sumu na wengineo,wanashindwa kujitokeza jamvini kumtetea gamba mwenzao, kwa kuwa hiyo inaweza kuwa the biggest blunder of the year 2013, kwa chama chao cha magaidi!!
 
Kamuhanda inabidi a-initiate urafiki na akina Kenyatta maana baada ya ukombozi wa pili wa Tanganyika itabidi atafute HIFADHI akaishi uhamishoni. Tofauti na hapo ni sheria tu.
 
Kweli ukitazama picha ya maiti ya Marehemu Mwangosi,ambayo nina uhakika mke wake,watoto wake,ndugu zake,marafiki,jirani na sisi wote tumeiona na hata tusiomjua Mwangosi tunahuzunika kwa kifo cha aina hiyo kwa mtu aliyekuwa akitimiza majukumu yake ya kutuhabarisha.
Sasa leo waziri mwenye dhamana kubwa na ndiye Mbunnge kutoka maeneo hayo anasimama Bungeni na kwa fahari kubwa anamsifu mtu anayetajwa kusimamia zoezi la kusambaratisha kabisa mwili wa Mwangosi kuwa huyo ndio kidume ndio maana hotuba ya upinzani kurasa tatu nzima zinamtaja Kamuhanda jee hawa nilio wataja hapo juu wanakuwa katika hali gani. Hebu waandishi wa magazeti na wengineo hili jambo liwekeni vizuri watu wote walione bila kificho,na mtakuwa mmemuenzi mwenzenu.
LUKUVI kilaza tu m_B_WA wa kutumwa! hana lolote ni picha halisi ya majangili na majambazi wa magamba! mfuatilia wakati LISSU anaongea anapotafuta mwongozo wa spika utajua hafuatilii mengine zaidi ya hayo!! ni kilaza!!! JI_NI mtumwa
 
Mkuu wala hilo lisikuumize kichwa, lukuvi ni kilaza.
Hata kama ni Kilaza, jamani sio hivyo. Hii kauli inatokana na kuvimbiwa madaraka na naona sasa ameamua kujamba mawazo ili kupunguza shibe. Kwa kauli hii huyu kiazi ametupa wepesi sana wa kunyoosheana vidole.
 
Jamani ni ULEVI gani huu wa madaraka anaotuonyesha Lukuvi???

Yani lukuvi ameshindwa kuzuia ulevi huu kudhihirika hadharani kiasi hichi??

Kauli ya Lukuvi bungeni ni kauli ya ccm, hivyo basi kama ambavyo Lukuvi anapongeza ubakaji wa haki ya kuishi na haki nyingi za msingi zilizovunjwa na Kamanda Kamuhanda watanzania tunapaswa kuamini kua ccm inatumia polisi kuua na kuvunja haki za kila mtanzania mwenye mawazo tofauti na CCM.

Hakika ushetani wa ccm unazidi kudhihirika mbele ya dunia tena kwa kupitia vinywa vya waasisi wa ushetani husika unaofanyika hapa tanzania kupitia serikali ya ccm na makada wake kama huyu Lukuvi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Maneno ya aina hii yaliyojaa shombo, nakumbuka ndiyo yaliyomtoa Mramba kwenye siasa. Ngoja tuone huyu naye ataishaia nalo wapi, ila naamini kuwa kwa kauli hiyo. Kajimaliza kisiasa.
 
wanaomsifu kamuganda ni CCM ambao wanamtuma. kazi za mapolis ni kuilinda ccm mbona lipo wazi tunajua hii si kalne ya kusifiana ujinga
 
Haya mambo mengine yanaletwa na Mungu ili kusaidia ukombozi wa nchi yetu. Kuropoka kwa Lukuvi kwa kujionesha kumbe kikundi chao ndicho kilimtuma Kamuhanda kumuua Mwangosi kutawasaidia Watanzania kutambua udhalimu wa serikali.
 
anampongeza kwa hiki

943645_397825230330664_1760656867_a.jpg

dah! Inauma kwa kweli,sidhani kuwa tatizo la lukuvi ni elimu tu hata busara hana hata kidogo afadhali ya elimu ana vyeti vya kufoji,MUNGU MREHEMU lukuvi.
 
Kwakweli ukiingalia maiti ya Mwangosi au mabaki ya mwili wa Mwangosi, mjane, watoto kisha ukasikiliza hizi pongezi kweli unakata tamaa

Ukweli nimetoa chozi jamani
 
Back
Top Bottom