Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,938
- 4,354
Wakuu hili limejitokeza leo kwangu. Unit kwenye mita zinasoma 12. Ila cha ajabu umeme hakuna. Nini kinaweza kua tatizo. Msaada tafadhali.
Mita yako umeme ukikatika huwa inajizima?Wakuu hili limejitokeza leo kwangu. Unit kwenye mita zinasoma 12. Ila cha ajabu umeme hakuna. Nini kinaweza kua tatizo. Msaada tafadhali.
Angalia kwenye main switch umeme utakuwa umejizima.Wakuu hili limejitokeza leo kwangu. Unit kwenye mita zinasoma 12. Ila cha ajabu umeme hakuna. Nini kinaweza kua tatizo. Msaada tafadhali.
Mita yako ime tempa..Wakuu hili limejitokeza leo kwangu. Unit kwenye mita zinasoma 12. Ila cha ajabu umeme hakuna. Nini kinaweza kua tatizo. Msaada tafadhali.
Kitaalau inaitwa ime tempa.Meter yako itakuwa ni ya kisasa. Kukiwa na umeme mkubwa (high voltage) zaidi ya 240 inazuia umeme usitoke nje ya meter na kuingia kwenye matumizi
Kuna mda umeme ukicheza hua circuit breaker inajifyatua,
Angalia kwenye Earth leakage Circuit breaker yako..
Hio inakua imeandikwa kwa maandishi makubwa mekundu mara nyingi ni
63/0.03..
Kuna kidude cha cha kuzungusha, juu yake kuna alama 0 na kulia kuna 1, hakikisha mshale wake unasoma kwenge 1.View attachment 2938435