Zlatanmasoud
Member
- Dec 19, 2010
- 71
- 15
Huyu jamaa mjinga kweli. Evra kampa mkono ili yaishe lakini li suarez limekataa. Shame
nayule anithi wenu evra alivyomfwata kumchokoza s amkuona eeehh nyani kweli aoni kundule
Huyu jamaa ni muuaji ana sura flani ivi..ovyo sana suares. Evra kafanya vizuri kushangilia ushindi mbele ya suarez! Mparaguay muuaji
hapana mpwa kipigo ni matokeo ila wotee nimeona ni watoto kweliii na huu ****** fa wanatakiwa kuwaacha waangalie inaisha wapiAcha jazba. Evra alikua anashangilia na mashabiki. Coincidentally suarez na yy alikua anapita. Najua umekasirika na kipigo
samehe na kusahau bana mbona ghana wameshawasamehe na zuri zaidi mtaa karibu na ikulu ya rais wameupa jina la suarez streetkweli, nchini uholanzi anajulikana kama the cannibal of ajax, alimtafuna mchezaji wa timu pinzani. Mshenzi sana. Kaikosesha ghana na africa nafasi hivihivi
samehe na kusahau bana mbona ghana wameshawasamehe na zuri zaidi mtaa karibu na ikulu ya rais wameupa jina la suarez street
man wanaonekana dhahiri wabaguzi sasa rio kukuta kumpa suarez mkono ina mhusu nini au ameambiwa huyu ni terry? jitu zima hovyoooo teja
man wanaonekana dhahiri wabaguzi sasa rio kukuta kumpa suarez mkono ina mhusu nini au ameambiwa huyu ni terry? jitu zima hovyoooo teja