Luis Suarez akataa kupeana mkono na Patrice Evra

Acha kujidanganya eti Uruguay ni masikini kama sisi Tanzania.

Jamaa wapo juu sana kutuzidi sisi. Kumbuka jamaa hata World Cup wameanza kucheza miaka ya zamani sana wakati hata Pelle hajaanza kucheza mpira. Enzi hizo alikuwepo Mpingo anaitwa Black Marvel na alikuwa akitesa sana miaka ya 1920 na kitu.

German, Yugoslavia nk walifungwa sana na hawa jamaa miaka hiyo. Infact hata mashindano ya kombe la dunia ya kwanza kabisa duniani, mwaka 1930 yalifanyika Uruguay na jamaa wakashinda. Enzi hizo wee Mdanganyika, bado unapakatwa na Waingereza.

Uruguay kwa taarifa yako ni TAIFA KUBWA. Wee jidanganye tu na ishi na Kikwete wako.

hana lolote huyo! Nchi anayotoka yenyew ni maskini ka sisi afu anajidai jeuri,asingeomba radhi angekiona cha mtemakuni!
 
Last edited by a moderator:
Acha kujidanganya eti Uruguay ni masikini kama sisi Tanzania.

Jamaa wapo juu sana kutuzidi sisi. Kumbuka jamaa hata World Cup wameanza kucheza miaka ya zamani sana wakati hata Pelle hajaanza kucheza mpira. Enzi hizo alikuwepo Mpingo anaitwa Black Marvel na alikuwa akitesa sana miaka ya 1920 na kitu.

German, Yugoslavia nk walifungwa sana na hawa jamaa miaka hiyo. Infact hata mashindano ya kombe la dunia ya kwanza kabisa duniani, mwaka 1930 yalifanyika Uruguay na jamaa wakashinda. Enzi hizo wee Mdanganyika, bado unapakatwa na Waingereza.

Uruguay kwa taarifa yako ni TAIFA KUBWA. Wee jidanganye tu na ishi na Kikwete wako.

Hauwezi compare uruguay na france au uingereza mkuu! Ubaguzi wake una raise maswali mengi kaka! Hiyo jeuri anaitoa wapi while mpira wake ni wakawaida sana kwa uingereza na france?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom