Mura Mwita25 kumbe mara moja moja huwa unakuwa na akili timamu. Kama ulikuwa hujafahamu, Rushwa na Ufisadi ndizo sera za chama chetu na serikali yake.Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
well.. I know I was right on this one. Shelukindo na wenzake hawakuwa na mkakati wa kweli wa kumlipua Jairo it was just the same theatrics of political triangulation. This one was easy.
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
katika hili I beg to differ with you. Kwa ufahamu wangu mdogo alichafany Jairo ni kutoa maelekezo kwa walioko chini yake kuvuruga bajeti iliyopitishwa na bunge la 2010/11 kwa kila idara kunyofoa Milioni 50 ili zikztumike kinyume na bunge lilivyopitisha. Hivyo ni kosa kubwa alilotenda. Hizo blah blah wanazotuleta Utoh na Luhanjo san sana zinamshushia hadhi Utoh kwa kuwa tayari Luhanjo ameshakuwa katika black list ya ufisadi. All in all wamefany vizuri kushindwa kutosana kwa kuwa sasa watasubiri hukumu ya umma 2014 na 2015.
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho
Pinda hakukurupuka mkuu,he knew what he was doing.alikuwa anacheza na saikolojia ya wabunge na watz kwa ujumla...pinda amebaki ameinama....wamesema huwa anatumia ten second decision .....na ndio maana alikurupuka siku ile bungeni kusema angekuwa ni yeye alimteua jairo angemtimua..........
Thats was the allegation lakini ilitokana hasa na kutwist maneno yaliyokuwa kwenye ile barua; niliwauliza watu hapa hayo maneno ambayo kila mtu alikuwa anayasema yako kwenye barua yako wapi watu hawakuonesha. Kama wa kumlaumu katika hili ni Shelukindo.
<br />
<br />
Pinda hakukurupuka mkuu,he knew what he was doing.alikuwa anacheza na saikolojia ya wabunge na watz kwa ujumla...