Lugha wanazotumia wanawake kupiga mizinga zinafanana

Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.

Kiongozi, huku hali tete choka mbaya, nitoe basi na wekundu wawili.
 
Mmmmh
Screenshot_20210726-171436_Instagram.jpg
 
Watakuwa wamegundua tunawatongoza kwa mfanano kwa hiyo nawo wanaomba kwa mfanano,
Kuna mmoja nimetoka kumuongezea hela ya gesi muda si mrefu, tuwasaidie tu Kuna wanaoigiza na Kuna wa kweli huwa wamebanwa.
 
Watakuwa wamegundua tunawatongoza kwa mfanano kwa hiyo nawo wanaomba kwa mfanano,
Kuna mmoja nimetoka kumuongezea hela ya gesi muda si mrefu, tuwasaidie tu Kuna wanaoigiza na Kuna wa kweli huwa wamebanwa.
Wengi wanaigiza
 
Usikute wanajenga nyumba kwa style hii..

Binafsi hainiumi kama mtu ni mpenzi wako
Inakasirisha kama umekutana nae jana Tu..

Unabaki na maswali..
Tusingeonana Jana saloon usingeenda?
Hapo ni sawa mtu mnaye siku nyingi.pia Ile omba yake sio ya mizinga ama kukuchuna. Amekupa gemu zaidi hata 10x ivi na smt alikuwa anagharimikia outing zingine hapo hata Kama ngapi utamtoa.

Kuna mmoja ameshawahi niomba 50k Kama her hbd gift mie,nikamwambia kuwa mbona hii biashara ni nzuri Sana Ina Mana akifanikisha kupata watu buku wa kumtoa iyo hela tayari anayo 50M ni hela kubwa Sana hapa Tanzania.

Ndo Mana hata dating site wanaume wanajifanya kuwa wao ni wanawake wanawatoa hela wenye tamaa ya ngono.
Ila mwanaume ngono ikikutawala basi sijui utaishia wapi.
Mpaka unakopa ili ukale mzigo basi sex Inaku drive and you don't drive your sex emotions.
Emotions intelligence ni muhimu Sana kwa maisha yetu.
 
Back
Top Bottom