Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,945
- 5,849
Tabia mbaya sana ya hawa wanawake, wanawekeza kukukamatisha mimba kiutata utata huku akijua wazi kabisa atakupiga mizinga kupitia mwanao.
Ukisema basi uishi na uliye mpa mimba atakukatalia na kukuambia tutabaki kua wazazi tuu, lengo ni awe huru kutuuzia mayai yake indirect
Wanazaa na wanaume tofauti tofauti hovyo na wenye kipato tofauti kwa matarajio ya kujilimbikizia mapato huku na huko kwa kisingizio cha matunzo ya mtoto
Atadai hela ya malezi ya mtoto na hapo mkae mkijua kila mwanaume mwenye kipato tofauti atatuma hela ya kumlelea mwanae, kwa idadi ya wanaume alio zaa nao.
Unakuta kabisa laki mbili inatosha walisha watoto hata watatu au wa nne kwa mwezi na kuwavalisha ila yeye atataka kila mwanaume atume hiyo laki mbili , sasa jiulize wote mkituma hiyo laki mbili na kama kazaa na wanaume wa tatu ni shilingi ngapi kwa mwezi.
Atakuambia mtoto anaumwa ili akujaze masitress ujichanganye utume hela ya kutibu mtoto ,kumbe mtoto haumwi ni yeye anataka kukupiga mizinga kupitia mtoto wako ili akakamilishe tamaa zake za hovyo huko nje.
Nyie wanawake achaneni na huu ujinga wa kutumia watoto wetu kutupiga mizinga msituone wajinga tunawaelewa sana. wanaume wengine hatutaki masihara , tunakunyang'anya mtoto hata kama ana mwaka mmoja au tunakutelekezea huko uangaike nae akikua atatafuta baba yeke.