Ndio Ila sometimes inategemea je ni bidhaa au ni helaAsante ila Naona ni sentensi ndefu kidogo
Nimepokea kutoka kwa / nimepeleka kwa
Alafu sio mimi ndie napeleka, ni wao ndio wanakuja kuchukua,
ndio, sasa hiyo 'from' inamaanisha imetoka kwa nani??Hivi kutoka si huwa inamaanisha kitu kimeondoka ?
Ok, naomba unisaidie tafsiri
Received from
dah, inategemea na yanavyotumika, sema kwa maelezo yako hapo ju;naomba tafsiri ya from na to kwa kiswahili
Sawa kihasibu records zinapaswa ziingizwe katika mfumo wa double entry, dukani mzigo unaweza kuuza Kwa cash au mkopo, pia unaweza kuhemea mzigo Kwa cash au mkopo! Kama dukani kwako umehemea mzigo Kwa mkopo kutoka Kwa juma, so juma atakupatia invoice note, ambayo katika vitabu vyako vya kumbukumbu utarecord katika kitabu cha purchase book on debit side Kama, I received invoice note from juma.bidhaa
bidhaa
Kama Wao ndiyo wanakuja kuchukua wewe utaandika ISSUED TOAsante ila Naona ni sentensi ndefu kidogo
Nimepokea kutoka kwa / nimepeleka kwa
Alafu sio mimi ndie napeleka, ni wao ndio wanakuja kuchukua,
Imepokewa kutoka/ Imetolewa kwa.Good afternoon members (sijui kama nimepatia )
Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa .
Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili