Mradi wa ovyo wa fremu za biashara pale Lugalo Jeshini

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,052
Wakuu Habari zenu

Mimi ninaishi bagamoyo Road huku hii ni barabara yangu ya kila siku kwenda mjini kusaka riziki. Kuna huu mradi wa frem hapa jeshini Lugalo, hizi frem zinaanzia pale mataa ya kawe “Bagamoyo road”kwenda kawe na kwenda mwenge.

Huu ni moja ya mradi wa hovyo sana kwanza umejengwa chini ya kiwango alafu zile frem kama zinaboboka tu. Aliyebuni huu mradi kweli anakili sawa? na pia kama mradi utakamilika utapelekea foleni kubwa sana maeneo yale.

Kwanza mpaka sasa ule mradi umefeli tuseme jeshi lilikurupuka hawakucalculate vizuri. Nature ya eneo kwanza ni ngumu mtu kuingia pale kupata huduma. JKT lugalo mjitathimini upya huu mradi ni wa hovyo ni kama mlikurupuka mnapoteza tu hela pale.
 
Jeshi Ni taasisi inayo hitaji heshima ya kipeekee. Sasa pale zile frem anaweza kuweka biashara mkenya au mturuki huku anachunguza mienendo ya jeshi letu, yaani tunataka kujivua nguo mbele ya kila mgeni. MTU anaweza kukodi pale akaweka CCTV au listening device ya kutuchunguza.
Waziri wa ulinzi hebu shughulikia Mara moja.
Tuna maeneo chungu nzima ya kuweka frem.
Kesho na kesho kutwa pale usalama wa taifa mtaweka frem. Ile nyumba PALM RESIDENCE mliyojenga kuchungulia ikulu haiwatoshi mpaka mjenge Lugalo.
Tuheshimu hii taasisi ya jeshi tafadhali.
 
Kuna nini pale zaidi ya magobole
 
Back
Top Bottom