Huyu jamaa anawachanganya hawa watoto, na sijui kwanini hawakuwa darasani anatakiwa kushitakiwa kwa kuwa hadaa watoto wasiende shuleni waangalie maigizo yake.
Au ndio utamu wa posho na rushwa ya Jairo.
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!pole sana kwa yaliyomkuta bwana mkubwa ila mbona kwenye picha wanaonekana watoto wengi haoni anajidhalilisha?
ukweli mwingine ni kwamba deo ni mtu wa kujishusha daima, mbunge mwingine angemtosa diwani kwa madai kuwa kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!
ukweli mwingine ni kwamba deo ni mtu wa kujishusha daima, mbunge mwingine angemtosa diwani kwa madai kuwa kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.

Mwingine huyu hapa chini. Na usomi wake wote na kuwa na tittle DR, bado anapiga magoti.
Tena yeye anasujudia SANAMU ya Kikwete. Heri hata yule kawapigia magoti watoto (Malaika za Mungu).
Ila huyu, kajishusha sana Mkuu huyu. Kama angelikuwa anachapa kazi, asingelihitaji kupigia watu magoti.
Kuna siku wataenda mbali zaidi. Rihanna karuhusu baadhi ya Fans waliolipa tickets za bei kali, kumparapasa Makalio.
habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.Duh! mkuu mbona hata hapo wanaonekana hao unaowaita watu wa rika zote???????? Kifupi ni kwamba it's just strange mbunge kupigia magoti wananchi hata kama wangekuwa wote ni miaka 50 kwenda mbele!!!!!
Hawezi kujuta kwani anayekataliwa hapa si yeye deo filikunjombe ni diwani wa makonde, chrispin mwakasungura ndo anayekataliwa.Kwa nyongeza tu ametoroka bunge to find this situation, anajutia afadhalia angebaki tu Dodoma
TZ 11. Tehe tehejamani nisaidieni Zito Kabwe anatumia usafiri gani kwa sasa
Mwakasungura huyu si mtu wa Mbeya. Iringa alifata nini na kwanini walimchagua? Mwacheni aimarishe kwao Mbeya.
Duh!He is very serious,anapiga hadi magoti!!
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!
ukweli mwingine ni kwamba deo ni mtu wa kujishusha daima, mbunge mwingine angemtosa diwani kwa madai kuwa kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.
Duh! kweli unajua kutetea inatosha sasa Funda moja zaidi litamuumbua Filikunjombe.Hawezi kujuta kwani anayekataliwa hapa si yeye deo filikunjombe ni diwani wa makonde, chrispin mwakasungura ndo anayekataliwa.