Ludewa kumekucha; wamkataa diwani wa CCM

Duh! kweli unajua kutetea inatosha sasa Funda moja zaidi litamuumbua Filikunjombe.

nendeni mkaumbuane huko kwenye chama chenu cha magamba, sisi huku cdm tunatumia data kufanya analysis ya mambo. Peopleeeeees power!
 
Chikwete is a pretender when he says power rationing and blakouts are caused by drought it is unconceivable. Really this is a lame excuse from somebody who is not serious at his position. Everybody is surprised while we have an unending menu of alternative power , he is still crying for power hunger. For the last six or so years he is still dealing with a short term solution to power. I think this has got a specific bearing with mixing the statehouse business with the street business they are incompatible.stop crying everybody is laughing at you.
In this way we will come out with a concrete solution.the overbuddened customer base is tired with uncompromising power situation in this country. You are creating army of un-patriotic army.
 
IMG_3819.JPG


Wanamagamba kwa usanii huwawezi masikini hao watoto wanashangaa tu.
 
habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.

Kuna kitu kinachomwumbua Deo Filikunjombe si kukubalika na wanaludewa, bali hii dhana ya kulindana. Ameamua kuwapigia magoti wananchi wa Ludewa kumtetea diwani wa CCM ambaye hakubaliki. Badala ya kupokea malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kazi juu ya Diwani huyo lakini yeye anafafuta hisani ya wananchi abakie. Hii si dhana halisi ya uwajibikaji katika utendaji wa viongozi, hayo ndiyo tunayopigania kuongokana na mfumo wa kulindana ndani ya Magamba.
 
1.jpg
IMG_3819.JPG
09_10_xa137s.jpg


Nadhani Mheshimiwa John Komba msanii maarufu wa TOT ndiye anayewafunza hawa, lakini pale Ludewa hapakuwepo na burudani ya muziki, huenda walikuwa na santuri zake.
 
hapa ndipo utaona umuhimu wa ile sheria ya kum recall kiongozi endapo ameshindwa kuwatumikia wananchi wake.

Inaelekea 90% ya watu hawamtaki mwakasungura lakini sheria ya uchaguzi inampa mamlaka ya kuweza kukaa madarakani kwa miaka mitano ingawaje wananchi hawamtaki. Wananchi ndio wanaomuajiri na lazima sheria iwape pia uwezo wa kuweza kumtimua mhusika kama wakiona hawaridhiki na utendaji.

Ktk katiba mpya ili lazima lifikiriwe kuwapa wananchi uwezo wa kuweza kumuondoa kiongozi wao kabla ya miaka mitano kama hawaridhiki na uongozi wake.
katiba ibadilishwe watu wagombee kibinafsi tu ndo dawa isiyo na fitna.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom