Nafikiri huyu ni Mzee wa GombeGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
MsomiGTs,

Why li mtu?? Was li mtu necessary?😀😀GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ana uwezo mkubwa wa data offNi mtaalamu wa masuala ya uchawa nchini
GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Malaria 2Malaria sugu kwani hayumo?
Inasikitisha sana mkuuUna uwezo mkubwa wa data off
Anauwezo mzuri wa kujizima dataInasikitisha sana mkuu
Jiwe ndio nani?
Boss, umepokeaje ushindi wa Janabi?
😄bado hujasemaGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Lucas Muoshambwa ni chawaGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ukivuliwa nguo chutama soon utafahamika vizuriAcha uongo wako hapa wewe tapeli mkubwa wewe