Pixar hawajawahi kukosea kwenye kutengeneza animation. Wana stori nzuri na animation zao zipo very realistic kama muvi ya kawaida.
Soul
Luca
Raya the last dragon nadhani ndio animation bora mwaka huu.
Dreamworks wameniboa Boss baby 2 sijaipenda wala. Ngoja nisubirie Hotel Transylvania: Transformania
Hivi umeona nezha reborn wewe rate ya 10/10 Noma sanaPixar hawajawahi kukosea kwenye kutengeneza animation. Wana stori nzuri na animation zao zipo very realistic kama muvi ya kawaida.
Soul
Luca
Raya the last dragon nadhani ndio animation bora mwaka huu.
Dreamworks wameniboa Boss baby 2 sijaipenda wala. Ngoja nisubirie Hotel Transylvania: Transformania
Aisee sijaicheki, mimi najua Jiang ziya Legend of deification. Aisee ngoja niitafute.. Nezha ni bonge la series muvi aiseeHivi umeona nezha reborn wewe rate ya 10/10 Noma sana
Jiang ziya nayo moto kinoma hawa wachina wana animation kali sana na ile white snake moto mno 10/10 rateAisee sijaicheki, mimi najua Jiang ziya Legend of deification. Aisee ngoja niitafute.. Nezha ni bonge la series muvi aisee
Kwa animation za kuchekesha na kufurahi Dreamworks nawapa namba moja. Ila kwa animation zinazogusa maisha ya watu basi nawapa namba moja PixarUmeshasema kila kitu nlichotaka kusema exactly PIXAR huwa hawafeli animation zao zinabeba ujumbe ambao audience ya watu wazima mnauelewa zaidi, Soul imenifundisha kitu aisee
Kuwa tunaishi tufurahie maisha sio kuwa obsessed na sucess au perfection, au kuwa na mashaka pale tulipokosea badala yake tunatakiwa tuenjoy little things maana best moments zinatoka humo humo. Tunafanya kazi na kutafuta ndoto zetu ila tusisahau kuishi maana hatuna mda mwingine zaidi ya huu on this earth aisee hii movie hits different kabisa
Wachina wana animation tamu san asema ndo hivyo bado hawajawa na soko. Wapo vizurJiang ziya nayo moto kinoma hawa wachina wana animation kali sana na ile white snake moto mno 10/10 rate
Wachina wana animation tamu san asema ndo hivyo bado hawajawa na soko. Wapo vizur
white snake ya moto sanaa, hv ni wachina eehJiang ziya nayo moto kinoma hawa wachina wana animation kali sana na ile white snake moto mno 10/10 rate
Mchina huyo
Warner bros na light chaser
Umesahau Coco baba Lao hujaitaja hapaPixar hawajawahi kukosea kwenye kutengeneza animation. Wana stori nzuri na animation zao zipo very realistic kama muvi ya kawaida.
Soul
Luca
Raya the last dragon nadhani ndio animation bora mwaka huu.
Dreamworks wameniboa Boss baby 2 sijaipenda wala. Ngoja nisubirie Hotel Transylvania: Transformania
Ntaitafuta soul. SijaonaUmeshasema kila kitu nlichotaka kusema exactly PIXAR huwa hawafeli animation zao zinabeba ujumbe ambao audience ya watu wazima mnauelewa zaidi, Soul imenifundisha kitu aisee
Kuwa tunaishi tufurahie maisha sio kuwa obsessed na sucess au perfection, au kuwa na mashaka pale tulipokosea badala yake tunatakiwa tuenjoy little things maana best moments zinatoka humo humo. Tunafanya kazi na kutafuta ndoto zetu ila tusisahau kuishi maana hatuna mda mwingine zaidi ya huu on this earth aisee hii movie hits different kabisa
Nilitaja za mwaka huu zilizotoka pixar. Btw coco naipenda pia very realistic details. Unaweza kuangalia unamuona Miguel ana vinyweleo kabosa mashavuni kama mtu halisi kumbe ni animationUmesahau Coco baba Lao hujaitaja hapa
OK.Nilitaja za mwaka huu zilizotoka pixar. Btw coco naipenda pia very realistic details. Unaweza kuangalia unamuona Miguel ana vinyweleo kabosa mashavuni kama mtu halisi kumbe ni animation
Pole mimi muziki na muvi bora nisile ila nipate vitu hivyo.OK.
Navopenda movie sasa ila daah muda sina hata maskeen. Nachoka sana basi huishia kusinzia tu
OK.
Navopenda movie sasa ila daah muda sina hata maskeen. Nachoka sana basi huishia kusinzia tu
Yes