Kanyabwoya said:
Kagame alichotwambia ni kwamba alifuata Nterahamwe Congo na ninaamini hivyo mpaka leo. Iwapo aliua Wakongo wasiokuwa na hatia, unarmed, just for the sake of killing, that was very wrong. Wakongo ni jirani zetu na ndugu zetu kama walivyo wanyarwanda na warundi! Sasa je ni kweli, that you one will have to prove it before the court! Ninachojua mimi, iwe Kagame au M7 na sasa mnamsema na marehemu Savimbi kule wanafuata kuiba, lakini je kuna watu wanaiba kama watanzania, milioni 800 za TASAF zimetafunwa kwenye wilaya yangu bila kumfikia hata mlengwa mmoja! (kamfano kadogo tu). Msukumo mkubwa wa ndani Kongo (Eastern) ni kupora mali ambazo hazina ulinzi, kwani Kinshasa iko mbali mno na Kabila hawezi fanya kitu. Lakini ikumbukwe kuwa Nterahamwe in Congo was a real threat, so Kagame had to pursue them, since Kabila (both marehemu na mtoto wake) couldn't tame them given the nature of The vast Congo. Mimi imani yangu ni kuwa aliua wanajeshi Nterahamwe, ex FAR na their Hutu accomplices, na pengine wakongo waliokuwa wanasaidia adui zake ambao nao wanakuwa adui zake kwa mantiki hiyo. Lakini iwapo aliua wakongo tu, kwa vile ni wakongo hilo ni kosa kubwa. Lakini katika vita ya kisasa, naamini hakuna mpiganaji anapenda kujiongezea maadui bila sababu, hiyvo sababu ya kuua wakongo mimi hainingii akilini. Je si kwamba na yeye Kagame alikuwa na washirika wake wakongo? Iwapo aliiba mali, basi walioiba ni wengi na wakamatwe wote, akiwamo M7, na makampuni ya kimataifa yakiwemo ya Marekani, Uchina, Ulaya na kwingineko. Siyo yale ya kwetu ya kukamata fisadi wachache wakati wengine wengi mapapa wanaachwa. Hivi hizo resources za kukamata wahalifu wote wa Great Lakes region zitatoka wapi, mbona wengi na uharifu umefanyika kwa miongo mimgi sana!
Kanyabwoya,
..ni kweli Kagame alidai anakwenda DRC kuwafuatilia Interahamwe. Lakini baada ya kuingia DRC facts on the ground zinaonyesha kwamba his army[RPF] started killing indescriminately, and plundering DRC's resources.
..umedai kwamba anaamini kauli ya Kagame kuhusu kuingiza majeshi yake DRC, lakini je una hakika madai hayo yakihakikiwa na independent observers yatasimama?
..sasa Kagame ana maelezo gani kwa mamilioni ya Wacongo waliouawa ktk maeneo yaliyokuwa yakishikiliwa na majeshi yake na washirika wake wa Ki-Congo? mbona maeneo yaliyoshikiliwa na majeshi ya Zimbabwe,Angola,na Namibia, hawakuuawa watu kwa mamilioni kama huko alikokuwepo RPF? mbona wenzao wa Zimbabwe na Waangola wameondoka kishujaa na wananchi wa Congo kuwaaga kwa heshima zote?
..umedai suala hili liwe proved mbele ya Mahakama. ili kufanikisha suala hilo kwanza lazima ushahidi ukusanywe. ninavyokumbuka mimi mara ya kwanza UN waliposikia mauaji hayo walijaribu kupeleka investigators, lakini KABILA SR aliwazuia kwasababu wakati ule alikuwa bado ana urafiki na KAGAME.
..idadi ya Wacongo waliokufa inakadiriwa kuwa kati ya milioni 1.5 ~ 3. haiingii akilini kwamba wote hao walioauwa, idadi kubwa namna hiyo, walikuwa armed and fighting against Rwanda's army.
..nakubaliana kuhusu kuwepo kwa washirika na mataifa mengine ambayo kwa namna moja au nyingine yaliyoshiriki ktk kuiba mali za Wacongo, au yalifaidika na wizi huo. kwa kweli ktk hili wahusika na washiriki wote wanapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya mahakama ya kimataifa.
.. lakini katika jinai yoyote ile yako madaraja ya uhusika, hatia, na adhabu. kwa upande wangu, na naamini hata wewe unaliona hili, ni kwamba Kagame na RPF ndiyo wahusika wakuu hapa. Kagame was the person who masterminded the killings and plundering in Congo, and he is also the one who could have stopped them. ndiyo maana hakuna anayemwandama Pasteur Bizimungu.
..umeuliza kuhusu resources za kukamata wahalifu na wauaji wa Congo. jibu ni kwamba kama international community imeweza kupata resources za kukamata Interahamwe, basi inaweza pia kukusanya resources za kuwakata RPF waliohusika kule Congo. tatizo lililopo ni kwamba international community ilikuwa-duped na Paul Kagame, sasa hivi wanaona aibu kukiri kwamba walikosea walipomuamini Kagame na RPF kwa mara ya kwanza.