Kumbuka wilaya ya Ngara ina washubi pia, ni jamii mbili. Ninachojua mimi watu wa Ngara hawabaguani kwa misingi hiyo, pamoja na kuwa wana asili hizo. Kutokana na intermarriages za muda mrefu amongst themselves and versus other Tanzanian tribes, that uhutu na utusi utabaki kwenye kumbu kumbu za vitabuni kwa hiyo hiyo tension haipo, na Kagame or whoever can't use it. Kwenye jamii ile kikubwa kinacho-matter ni class, yaani inapendwa pochi tu siyo mtu, so whoever has it, he will be having an upper hand in whatever he does, whether ni aliyeko wilayani au mjini. Sehemu pekee ambako kadi za utusi na uhutu zinatumika ni kwenye nafasi za ulaji za kugombea mf. ubunge. Mbunge aliyepo amezitumia, na hata waliotangulia, wote wakiwa wana asili za wahutu, BTW, wahutu are overwhelimingly majority kwa hiyo that tension ia again irrelevant. Lakini at times cha msingi pia ni hela ya kusplash kwenye campaign hasa siku hizi, enzi za Nyerere hiyo kitu haikuwepo, so whoever can splash more, bila kujali asili yake anaweza shinda. Hiv majuzi nimepata data kwamba wanatumia kadi pia za udhehebu(siyo dini) maana kule wote ni wakristo (no muslims there labda watano! )Kwa hiyo waanglikana hapo wanakuwa na upper hand (wabunge wote ni dhehebu hilo), nasikia wakatoliki hapa wamepigwa bao (ila siiaminisana hii school of thought)..deciding factor inabakia kuwa pochi!
Watu wa Ngara, if anything, kiutamaduni are more related to Burundians than Rwandans, again hapo suala la Kagame kuwatumia halipo. Lakini je wao wenyewe wako tayari kutumika, jibu ni NO, maana ndio wa kwanza kukataa Shirikisho la EA, na wataingia kwenye vitabu vya kumbu kumbu kwa hilo. Je yuko interested na ardhi ya Tanzania, again jibu ni NO, kwa sababu hajawahi kusema hivyo wala kutenda hivyo, na ninavyojua mimi matatizo yake ni yandani na nilishasema hivyo mwanzoni, na hata kuna mchnagiaji alishasema hivyo. So huo mpango haupo, kuna watu wanaopenda kuishi kwenye imani za conspiracy theories za Bahima empire, waache mara moja kwa sababu ni sawa na ushirikina kwa sababu that's plain ignorance. Inawezekanaje wakati Kagame na M7 ambao ndiyo inasemekana ni archtect wa huo mpango wanagombana kila siku, kilichowapeleka Congo ni kuiba kwa kuwa Congo ni shamba la bibi, lakini hata sisi watanzania tunaibiana, angalia Richmond, EPA, Meremeta, TICTS tofauti ni style ya kuiba! Moreover, watu wa Ngara are too smart to be used by Kagame, when are not Rwandans themselves. Kwanza kukiwa na any skirmishes, they will be the first ones to pay the price, now in no way they can subscribe to that!