Lowassa watulize watu wako


Wewe mjinga kama yule demu anaitwa Olivia sanare sijui. System na watu ndio waliomchagua. Edo na pesa zake kakwama. Na kwa taarifa yako kipindi cha jk kina edo lowasa na wengine walishiriki mchezo mchafu wa kugawa pesa kwa wanec, safari hii jk kaona si vema kumuingiza mtu kuwa rais kwa mtindo ule na kibaya zaidi lowasa ni mbabe sana tena anaweza fanya ufisadi wa nje nje. We kumbuka kipindi chake cha shule za kata, eti alilazimisha zinjengwe then akatoa tenda kwa watu wake waagizie vitu toka china, si huo wizi tu. bado akakusanya hela toka wizarani kwa ajili ya semina elekezi ili kunemesha hotel ya ngurudoto, si huo wizi tu! Mjiue mkiona vipi ila naamini lowasa yeye hana shida na wataendelea kucheka na akina magufuli
 
Majebere acha unafiki mbowe kaishiwa do you have any vivid better u you quit no research no right to talk
 
Lowasa ana watu wengi sana wa jamii ya kimasai, hao wote ni wapiga kura wa wakubwa wa ccm miaka mingi leo kutopiga au kupiga kinyume na ccm si hadith nzuri.Lowasa pia na makundi makubwa sana ya vijana wa maofisini wanaopenda sana dili na kubebwa,na hao wengi ndio wa ccm.Lowasa pia ana watu wanaofuata mkumbo ktk ile ikoa ambayo ccm ni ina nguvu.Idadi haiwezi patikana kwa haraka kwani waliopandishwa bangi(morali) ni wengi sana ..sasa inategemea watatulizaje hizo bangi,au wataongezaje..hata huko mwanza si kwamba wana ccm ni wachache km ilivyo eneo zima la kanda ya ziwa.Ila upiga kura ulitegemea sana wagombea wenye kukubalika ktk upinzani na hivyo kuupa upinzani nguvu.Pia idadi itastabilize au kuruka juu kutegemea na jinsi Lowasa anatajibehave,pamoja na mienendo ya CCM.
 
Ntacheka sana Lowasa takapoamua LET THE DOGS OUT halaffu nae AMUMUNYE MANENO KM WALIVYOMUMUNYA KUMSAFISHA.
 
kwani mnamdai kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…