mnapambana na nani?Mapambano bado yanaendelea! Tuendelezi mapambano hadi kieleweke!
Mapambano bado yanaendelea! Tuendelezi mapambano hadi kieleweke!
Funguka sasa mapambano yanaendelea kivipi? Ndani ya CCM au nje ya CCM? Supporters wanasubiri kusikia direction baada ya ile kauli mbinu yenu ya #HakatwiMtu kupigwa chini kwa kishindo.