lusungo nimekusikia mkuu, ahsante kwa ushauri elekezi naufuata.Mkuu Nguruvi3
Wanaojua mali za viongozi ni viongozi wenyewe na pia taasisi iliyokabidhiwa jukumu la kujua mali za viongozi.
Umuhimu upo ndiyo maana kwa sasa wabunge wa CHADEMA wanajikuta wanamshambulia Lowassa bila kufahamu kwa sababu hawafahamu mali zake.
Hata mimi sifahamu kama linafanywa kwa kulipa kisasi lakini ninachokiona ni kuwa nyumba zinabomolewa kwa sababu sheria imevunjwa.
Kufahamu ni kisasi au siyo kisasi ni vigumu sana kama kinachofanyika kiko kisheria.
Haya maswali siwezi kuyajibu kwa sababu sihusiki na masuala unayoyauliza.
Suala la Lugumi kuna Kamati Ndogo ya Bunge inafanya kazi nani matumaini yangu mwisho wa mwezi huu itakuja na majibu ya maswali yako.
Hatuwezi kufahamu kwa sababu siasa za Tanzania sio kama tuzijuavyo lakini kilichojitokeza ndicho hicho na mbaya zaidi hata Mbunge alionekana kushangaa baada ya kuambiwa shamba linamilikiwa na Lowassa.Napata mashaka kuwa huu waweza kuwa mchezo wa kisiasa unaochezwa kisayansi na Waziri ameingia king.
Shamba kubwa kama hilo sio rahisi Mbunge na wananchi jirani wasifahamu kuwa linamilikiwa na Lowassa. Pengine Lowasa kesha ridhia lirudi serikalini ili wapewe watu, lakini waziri kutamka kuwa wanalirudisha kutokana na kauli ya Mbunge tuu basi sasa mashamba mengi ya viongozi itabidi yarudishwe kama la Lowasa pale Mbunge yeyote atakapo mention wapi kuna shamba halijaendelezwa.
Baada ya hapo ni wangapi walio madarakani wataumia?
Inashangaza mtu anaibuka na jazba huku ametanguliza hoja za nguvu kwa sababu nimemtaja Edward Lowassa.[emoji2] [emoji2] Nyumbu katika ubora wao mkuu hawajui waendako
andiko lako linaonyesha kabisa jinsi unavyotumika na mafisadi kwa kujaribu kutetea uozo na ufisadi. lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu. no matter what. na penye ukweli uongo hujitenga. jua hilo.MsemajiUkweli,
Kauli ya Kikwete kwenye kamati kuu yenu huko CCM kwamba Lowassa bado ni tishio ni kauli inayowasumbua sana. Kutangaza mali za Lowassa sio kazi ya Chadema, kama ilivyokuwa kwa mali za Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, hiyo sio kazi ya Chama Cha Mapinduzi. Kama ana mali ambazo mna uhakika ni mali 'haramu', zipo njia za kufuata kukabiliana na hilo, na mnazijua. Na katika njia zote, Jamiiforums sio njia sahihi.
MsemajiUkweli, Kuonyesha nyumba ya mdogo wa Lowassa ikibomolewa inaweza kuwa ni sawa tu na kuonyesha ile nyumba ya Kikwete Masaki inayojengwa na Lugumi. Haitatui tatizo lililopo.
Vinginevyo kwa akili ya kawaida, tena sana, na kwa experience ya marais waliopita huko nyuma, kilicho muhimu kwa sasa ni kwa Rais aliyepo madarakani kuonyesha kile alichowasilisha kwa tume ya maadili kuhusu mali zake. Kwanini 'yaliyomo' hayajawekwa hadharani' na badala yake yana fichwa fichwa kama kweli nia ya dhati ipo?
Vipi kuhusu makato ya kodi ya mshahara wa Rais?
Onyesheni njia, ongozeni kwa mfano.
Hatuwezi kufahamu kwa sababu siasa za Tanzania sio kama tuzijuavyo lakini kilichojitokeza ndicho hicho na mbaya zaidi hata Mbunge alionekana kushangaa baada ya kuambiwa shamba linamilikiwa na Lowassa.
Unafahamu kuna viongozi wengi tu wa serikali na CCM walijimilisha mashamba makubwa baada ya nchi kuingia kwenye soko huria.
Migogoro kama hii ya ardhi inatufanya tufahamu wamiliki wa hayo mashamba makubwa.
Akitajwa Lowasa tu kosa hayo maheka yote ya nn na katika andiko lako umeeleza wazi ukiwasaidia waoInashangaza mtu anaibuka na jazba huku ametanguliza hoja za nguvu kwa sababu nimemtaja Edward Lowassa.
Inashangaza hawa ma-fanatics wanaomtetea Lowassa kwa sasa ni wale ambao walikuwa wanamtukana na kumsema ni fisadi papa kabla hajajiunga CHADEMA.
andiko lako linaonyesha kabisa jinsi unavyotumika na mafisadi kwa kujaribu kutetea uozo na ufisadi. lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu. no matter what. na penye ukweli uongo hujitenga. jua hilo.
Hata shetani ni kiboko kwa sababu kuna watu huwa wanakesha wala hawaendi choo.Lowasa kweli kiboko, msemajiukweli mnaonesha jinsi gan hamlali wala hamuendi kwa chooo kisha lowasa
Wewe unafahamu vipi kama waleta mada ni UVCCM?Kutoka kwa vijana wa Uvccm hii ni thread ya 9 hii inayomuhusu Lowasa punde baada ya Lowasa kutangaza atazunguka kufanya mikutano.
CCM will always dance the song played by Lowasa.
Suala la tumbaku linaingia vipi hapa?Mbona tumbaku si nzuri kiafya na mnauza.
Inabidi awasaidie wabunge wa CHADEMA na bila kufanya hivyo watakuwa wanamnanga kila mara bila wao kufahamu. Badala ya wabunge wa CHADEMA kumjenga, kwa sasa wanachofanya ni kuendelea kumuua zaidi kisiasa.Lowassa kamwe hawezi kutaja mali zake hata Mbowe na Lissu wanalijua hilo
Wananchi wa Monduli walikuwa wanailaani serikali kumbe kikulacho kilikuwa ndani ya nguo zao!Monduli watu wanateseka kwa ufisadi wa mamvi kwa muda mrefu sana
Mkuu wewe na nani mnataka sukari?nikiangaria hapa umeandika tunataka sukali(wengi) wakati aliyeandika ni mmoja,Tunataka sukari huu sio muda wa propaganda.
Kwa hiyo alikosea?Mbunge alikuwa sahihi katika kutimiza wajibu wake lakini kwa sababu hakuwa well informed ndio maana akajikuta anamshambulia Lowassa bila kufahamu.
Ni kweli kama angekuwa anafahamu kuwa shamba nila Edward Lowassa, nadhani approach yake kuhusiana na suala hilo ingekuwa ni tofauti.
Kwani tumemkataza Lowassa kufanya yake?
Nimemuomba awaeleze CHADEMA mali zake ili kuepuka aibu inayojitokeza kwa wabunge wa CHADEMA ambao ni wazalendo wakati wa kutimiza majukumu yao.
Inabidi awasaidie wabunge wa CHADEMA na bila kufanya hivyo watakuwa wanamnanga kila mara bila wao kufahamu. Badala ya wabunge wa CHADEMA kumjenga, kwa sasa wanachofanya ni kuendelea kumuua zaidi kisiasa.
Kijana jufinze kuishi maisha mazuri na YENYE afya. Sukari ni mbaya kwa afya yako. Tujifunze kula vya afya asubuhi na mapema. JEE umewahi kukausha vizazi vitamu baadaye ukausaga ukawa unga, na ukatengeneza uji wa unga wa viazi vitamu. Ni mtamu, wenye afya na totally organic, na wenye gharama ndogo sana.Tunataka sukari huu sio muda wa propaganda.
Sometimes common sense isn't common to all. Jamaa kakustua kidogo and you have come out kuonesha kwamba mada yako is based on hate sio uzalendo.Jaribu kutumia hata common sense unaposema likitamkwa jina la Lowassa eti matumbo ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM huwasokota. Lowassa yupi huyo unayemsema? Huyu ambaye kwa sasa hata kuongea dakika kumi ni majanga?
Lowassa huyu ambaye alikuwa anadekiwa barabara lakini jina lake likakatwa na kalamu ya shilingi mia sita halafu leo matumbo yawasokote? Hebu acha utani. Hili siyo jukwaa la utani na udaku.