Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

cartoon-kipanya-lowassa-big-fish-mwananchi-0612141.jpg
Unaweza kuposti tena hii picha ndugu yangu
 
Habari ya Richmond aliisafishaje ikiwa hata kujiulzuru aliambiwa na Kikwete, kwamba ajiuzuru ili asipoteze marupurupu ya uwaziri mkuu staafu ambapo angeyapoteza kama angesubiri kufukuzwa?

Uzalendo wake uko wapi iwapo hadi leo hataki kusema Richmond ni nani na wako wapi?


IKiwa yeye mwenyewe analazimisha kwenda ikulu kwa mlango wa Rushwa na visasi, atakomeshaje rushwa nchini?

Kwanza kwa nini analilia kwenda ikulu huku akifahamu hana sifa na wala hakubaliki? Anataka kwenda ikulu ili nini??

Wakati wa BMK, yeye kama mjumbe ni mchango gani ailiousema kuonesha uzalendo wake na utetezi wa wanyonge wakati Haki za raia zinapokonywa kwa mlango wa pili? Alionyesha uzalendo gani wakati kura zinachakachuliwa? Alionyesha simamo gani wakti tunu za uadilifu, uwajibikaji na uwazi zikipigwa chini kwa nguvu ya ufisadi?

Lowasa na kikwete walikataliwa na nyerere, watanzania wakadharau wakampa kikwete ambaye sasa kila mtanzania kasoro misukule ya ccm, anafahamu ametufikisha wapi. HATURUDII MAKOSA YA KUMPA URAISI LOWASA ILI WAPOKEZANE NA KIKWETE WAKE KWA SABABU WALIKUBALIANA MAPEMA NA NDIYO SABBU YA LOWASA KUPEWA UWAZIRI MKUU KWA KUWA HAWAKUKUTANA BARABARANI. WANATAKA KUPOKEZANA ILI WAZIDI KUTUIBIA NA KULINDANA.

Utajiri wa lowasa hauna maelezo na hayuko tayari kuelezea. Utajiri wa familia ya kikwete hauna maelezo na kifauowongo chao Riziwani kama kawaida ya majizi huwa ni kukataa.

LOWASA MPE URAISI WA UKOO WAKO. TANZANIA HATUMTAKI NA NATAMKA LOWASA URAISI WA TANZANIA HAPATI HADI ANAKWENDA KABURINI. ASAHAU. NA WEE KAMA UNAMTAKA, USITUSEMEE SISI. MTAWAZE AWE KIONGOZI WA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO. period!.
Rudia tena haya maneno yako ndugu yangu
 
Lowassa ni tumaini la mafisadi, wezi, wahuni, majangili na magaidi na wauza unga nchini. Haiwezekani kiongozi mzuri mwenye sifa za kuiongoza nchi aanze kampeni zake kwa kutoa rushwa ya mamilioni katika nyumba za ibada halafu akadaiwa eti ni "tumaini la Watanzania"

Unachekesha..... Unafiki ni mbaya sana
 
KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO UKO SAWA, LAKNI KWA MUJIBU WA KURA NA NGUVU YA UMMA, EL IKULU YA DAR, ni heri ngamia apite tundu la sindano, kumbuka maneno yako kumbuka maneno yangu tukutane mwaka 2015 mwezi May na Oktoba 2015. Utanipa kila ulichonacho kwa pongezi.
Vipi jamaa kishakupatia pongezi?
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 uliwaibua vigeugeu na wanafiki sana aisee...Kuna watu humu walimponda sana Lowassa..Alivohamia CHADEMA akawa msafi..
Hatutachoka kuwakumbusha.

Hatuwezi kufanya unafiki kama sehemu ya siasa nchini.
 
Back
Top Bottom