Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Huna ushahidi wa kuonyesha kwamba nimeandika chochote tofauti na siku za nyuma
. Unafiki si jadi yangu.

hahaha kamanda anarusha mateke... unafik kweli kitu kibaya
 
Kulinganisha na sokoine ni matusi. Sokoine alichukua hatua za kukyamata mafisadi wote bila kujali vyeo wala rangi. Lowasa leo naye angekamatwa.

Yeye kafanya nini hata kukemea tu rushwa na ufisadi na badala yake yeye ndiye key player kwenye fani hizi?

Sokoine alisimamia maslahi ya wananchi, hili lowasa lenu limeshiriki kudhurumu haki za watanzania kil amtu akiona. Halfu limekaa kimya kama mbwakoko mwizi wa mboga likinyemelea ikulu. Pumbaf kabisa.
Ulimwita Lowasa mbwakoko mwizi wa mboga ila Leo ni Rais wa moyo wako!!
 
Habari ya Richmond aliisafishaje ikiwa hata kujiulzuru aliambiwa na Kikwete, kwamba ajiuzuru ili asipoteze marupurupu ya uwaziri mkuu staafu ambapo angeyapoteza kama angesubiri kufukuzwa?

Uzalendo wake uko wapi iwapo hadi leo hataki kusema Richmond ni nani na wako wapi?

IKiwa yeye mwenyewe analazimisha kwenda ikulu kwa mlango wa Rushwa na visasi, atakomeshaje rushwa nchini?

Kwanza kwa nini analilia kwenda ikulu huku akifahamu hana sifa na wala hakubaliki? Anataka kwenda ikulu ili nini??

Wakati wa BMK, yeye kama mjumbe ni mchango gani ailiousema kuonesha uzalendo wake na utetezi wa wanyonge wakati Haki za raia zinapokonywa kwa mlango wa pili? Alionyesha uzalendo gani wakati kura zinachakachuliwa? Alionyesha simamo gani wakti tunu za uadilifu, uwajibikaji na uwazi zikipigwa chini kwa nguvu ya ufisadi?

Lowasa na kikwete walikataliwa na nyerere, watanzania wakadharau wakampa kikwete ambaye sasa kila mtanzania kasoro misukule ya ccm, anafahamu ametufikisha wapi. HATURUDII MAKOSA YA KUMPA URAISI LOWASA ILI WAPOKEZANE NA KIKWETE WAKE KWA SABABU WALIKUBALIANA MAPEMA NA NDIYO SABBU YA LOWASA KUPEWA UWAZIRI MKUU KWA KUWA HAWAKUKUTANA BARABARANI. WANATAKA KUPOKEZANA ILI WAZIDI KUTUIBIA NA KULINDANA.

Utajiri wa lowasa hauna maelezo na hayuko tayari kuelezea. Utajiri wa familia ya kikwete hauna maelezo na kifauowongo chao Riziwani kama kawaida ya majizi huwa ni kukataa.

LOWASA MPE URAISI WA UKOO WAKO. TANZANIA HATUMTAKI NA NATAMKA LOWASA URAISI WA TANZANIA HAPATI HADI ANAKWENDA KABURINI. ASAHAU. NA WEE KAMA UNAMTAKA, USITUSEMEE SISI. MTAWAZE AWE KIONGOZI WA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO. period!.

Kweli chadema ni kipimo cha ukilaza!
 
Uwongo UPI?
Humsapoti Edo wewe!?
Mkuu, nimekusoma!

Naona umeamua kuwambusha unafiki wao.

Usikate tamaa kuwakumbusha unafiki wao kwa sababu kama huu ugonjwa wa unafiki utaachwa, kuna uwezekano ukawa ni kansa kitaifa.

Ubarikiwe sana.
 
Ukweli halisi ni huu hapa wakuu wala msihangaike bure:

Hata kama wapinzani watashinda kwa kupata kura zote hawawezi kuingia magogoni! Magogoni ni kwa ajili ya ccm baasi. Wapinzani baadae sana, sio sasa wakati bado nchi inatawalika. Wapinzani wataingia ikulu pale ambapo nchi haitawaliki lakini si kama ilivyo sasa hv! Niwakumbushe kulalamika lalamika haina maana kuwa nchi haiendi, inaenda sana tu! Si mnakumbuka ishu ya mzee wa vijisenti?Au mmeshamsahau mara hii? Mlilalamaika weeeee lakini juzi kai mzee wa vijisenti ndo anawaandikia katiba! Mpo hapo?

Hii nchi ni ngumu kwa wapinzani!! Kuna mengi hamjui, ila wanajitahidi sana lakini bado kabisa.

Dawa hazipatikani hospitali, wananchi wapo busy na foleni za kuwahi kibaruani kwa wahindi naye rais wao yupo maryland kapumzika kidogo! Mola amjalie afya njema!

Hela za escrow 200bln zinapigwa, wananchi wapo busy na yanga na simba nani mtani jembe!

Nchi bado inatawalika sanaaaaaaaa!! Na kwa hali hii wafuasi wa upinzani endeleeni kuota ndoto zenu za alinacha!
Mkitaka kunielewa jinsi ilivyo ngumu kupenya kwenda kuishi karibu na posta (magogoni) angalieni kwa yanayotokea Syria. Assad kakomaa hatoki ikulu; na ndio maana yake hatoki ikulu ndo habari ya ikulu hio baba/mama!

Sasa nyie ndo muende ikulu kama mnaendeka mlimani city vile kucheki show za akina sitti mtemvu??!! Thubutuuuu!! Acheni utani jamani nyie wapinzani! Sometimes muwe serious walau kidogo! Au mnafikiri ikulu ya Tanzania ni kama ya Burkina Fasso eeeehhhh!!!!! Imekula kwenu wakuu!!

2015 Kidume Edward Lowassa anatinga magogoni rasmi......Asieamini aendelee kuamini hivyo hivyo, Oct 2015 ataelewa ninachokisema hapa!!!!

Jembe Lowassa likiingia ikulu, Tanzania mpya itazaliwa! Unadhani watanzania wanaitaka Tanganyika???? Aaah wapi! System ya nchi ndo imekaa kushoto.....kwa hio wananchi wanatafuta namna ya kukabiliana nayo; yaani ayo ni utanganyika ni mahangaiko tu ya wananchi kukabiliana na mateso ya kiuchumi, kielimu na kiafya na si vinginevyo!

Lowassa akiingia ikulu tu baasi Tanganyika inasahaulika kabisa! Subirini muone!

Mungu iendelee kubariki uwepo wa Lowassa!

Ahsanteni sana wakuu!
Haya huenda kaandika mwenyewe Lowasa. siamini kama kwa sasa kuna mtu mwenyefikra zake atajitoa akili kiasi hiki. Pia inawezekana huyu mtu mahaba yalimzidia mpaka akapelekwa chumba cha uangalizi maalum toka tarehe 25/10/2015 na sasa ndo kwanza katoka hospitali
 
Nionavyo mimi, upinzani kuingia ikulu ni sawa na maji kupanda mlima. Wapinzani hata wafulukute namna gani, wataishia tu kuwa wasindikizaji. Kitendo cha kusubiri mtu atoke CCM, aje kwenu kugombea urais ni kujidharau wenyewe kwamba ninyi hamuwezi kuongoza nchi. Mgeni akija kwako na mboga halafu ukampa chakula na mboga ile ile aliyokuja nayo yule mgeni ni ishara kuwa wewe huna mboga.
 
Unahangaika sana ndugu yangu wagonjwa ni kama wakina Marehemu rais Sata,lowassa yuko gado kuliko unavyomfikiria,hayo maneno yenu ni yawaliokata tamaa,but the fact is ufe,ulie,ujinyonge LOWASA Is the NEXT Amiri jeshi Mkuu wa majeshi,usijali tutakualika kwenye inaguration worry not

Naota tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulimwita Lowasa mbwakoko mwizi wa mboga ila Leo ni Rais wa moyo wako!!

Ni kwa sababu nachukia ufisadi. Na ufisadi huo alibebeshwa kwa niaba ya CCM nzima na mwenyekiti wenu. Siwezi kuwa kisiki kisichokuwa na kichwa cha kuelewa nikaishi kwa kukaririshwa kama mimisukule ya ccm ambayo hata inapoona mabadiliko na kupata ukweli zaidi imebaki kusimama palepale.

Juzi Kitwanga ametoa hotuba akiwa kalewa, miccm inapiga makofi ya kushangilia bila kujua alikuwa anafanya uhalifu. Ametumbuliwa inasema kweli alikosea, wanakuja madiwani wake wanasema kaonewa, miccm inasema kweli kaonewa.
Hiyo ndiyo siri ya kuwa na kichwa kisichombegu ndani.

Baada ya ufisadi wa Lowasa, tulitegemea mtapeleka mahakamani shauri ili limalizike, sasa mbona hamkumpeleka? Au ndiyo katiba ya Lumumba?

Wenye akili tumeshafahamu. Ufisadi uko ndani ya ccm tu. Na ushetani ndio unawapa ujasiri wa kufanya mnayoyafanya. Lakini kumbukeni, mtu ana maisha ya aina mbili , ya hapa na ya baadaye.

Endeleeni na ulaghai.
 
Ukweli halisi ni huu hapa wakuu wala msihangaike bure:

Hata kama wapinzani watashinda kwa kupata kura zote hawawezi kuingia magogoni! Magogoni ni kwa ajili ya ccm baasi. Wapinzani baadae sana, sio sasa wakati bado nchi inatawalika. Wapinzani wataingia ikulu pale ambapo nchi haitawaliki lakini si kama ilivyo sasa hv! Niwakumbushe kulalamika lalamika haina maana kuwa nchi haiendi, inaenda sana tu! Si mnakumbuka ishu ya mzee wa vijisenti?Au mmeshamsahau mara hii? Mlilalamaika weeeee lakini juzi kai mzee wa vijisenti ndo anawaandikia katiba! Mpo hapo?

Hii nchi ni ngumu kwa wapinzani!! Kuna mengi hamjui, ila wanajitahidi sana lakini bado kabisa.

Dawa hazipatikani hospitali, wananchi wapo busy na foleni za kuwahi kibaruani kwa wahindi naye rais wao yupo maryland kapumzika kidogo! Mola amjalie afya njema!

Hela za escrow 200bln zinapigwa, wananchi wapo busy na yanga na simba nani mtani jembe!

Nchi bado inatawalika sanaaaaaaaa!! Na kwa hali hii wafuasi wa upinzani endeleeni kuota ndoto zenu za alinacha!
Mkitaka kunielewa jinsi ilivyo ngumu kupenya kwenda kuishi karibu na posta (magogoni) angalieni kwa yanayotokea Syria. Assad kakomaa hatoki ikulu; na ndio maana yake hatoki ikulu ndo habari ya ikulu hio baba/mama!

Sasa nyie ndo muende ikulu kama mnaendeka mlimani city vile kucheki show za akina sitti mtemvu??!! Thubutuuuu!! Acheni utani jamani nyie wapinzani! Sometimes muwe serious walau kidogo! Au mnafikiri ikulu ya Tanzania ni kama ya Burkina Fasso eeeehhhh!!!!! Imekula kwenu wakuu!!

2015 Kidume Edward Lowassa anatinga magogoni rasmi......Asieamini aendelee kuamini hivyo hivyo, Oct 2015 ataelewa ninachokisema hapa!!!!

Jembe Lowassa likiingia ikulu, Tanzania mpya itazaliwa! Unadhani watanzania wanaitaka Tanganyika???? Aaah wapi! System ya nchi ndo imekaa kushoto.....kwa hio wananchi wanatafuta namna ya kukabiliana nayo; yaani ayo ni utanganyika ni mahangaiko tu ya wananchi kukabiliana na mateso ya kiuchumi, kielimu na kiafya na si vinginevyo!

Lowassa akiingia ikulu tu baasi Tanganyika inasahaulika kabisa! Subirini muone!

Mungu iendelee kubariki uwepo wa Lowassa!

Ahsanteni sana wakuu!
Usimdanganye mzee wa watu muache ahesabu mifugo yake hakuna mwananchi yoyote anayemuhitaji sana sana watu wanazengea fedha zake na watoto wake wameshashtuka
 
Back
Top Bottom