Lekakui
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,451
- 590
Kaka Lekakui(nadhani we ni jinsia ya kiume,samahani kama nimekosea)
Unakumbuka wakati JK anaingia ikulu ilisemekana ni chagua la mungu?Nataka nikwambie kuwa JK alikuwa na nia njema sana wakati anaingia ikulu lakini wahafidhina na mapapa ndani ya Chama walimzidi nguvu na kumziba mdomo,system iliyopo ndani ya chama tawala ni kubwa na ina nguvu kumzidi Rais aliyeko madarakani,na kumbuka kuwa hata kama Rais awe vipi hafanyi kila kitu yeye,ana wasaidizi na watendaji na hao ndio wanaomuangusha na ndio kisa JK amekuwa akilalamika kuwa anaangushwa na watendaji,ndani ya Chama tawala hakuna alie msafi hata mmoja,hata mimi nilikuwa na hisia kama zako kuhusu EL ila nikifikiria kwa makini itakuwa Mvinyo mpya kwenye chupa kukuuu.Ili tupate maendeleo stahili inabidi CCM wawe wapinzani,na kwa kuwa wamekaa kwenye system muda mrefu nakuapia watakuwa wapinzani imara sana kuliko CDM,CUF,(UKAWA)wataisimamia serikali ipasavyo.
U might be having a point i respect ua views,but the fact remains kwamba huyu EL ni kiongozi aliyepitia misuko suko mingi sana,na ni mtu anayeijua vizuri sana hii nchi na ni mtu asiyeogopa kufanya maamuzi magumu,i still have faith in him kwamba he is the only person we can really on,hiyo system kwake ni rahisi sana kuisambaratisha kuna vijana wengi sana mtaani ambao wanauwezo mkubwa sana wakipewa nafasi hizo wananweza deliever without any problem sioni shida namuelewa vizuri sana EL and inshalaah atavuka