Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Lowassa is for Tanzanians!!! Itachukua mda mrefu sana kwa wapinzani kuingia ikulu katika kiti cha uraisi

Nyie watu hamna Akili kweli , huyu mzee mamvi anataka nini ? Kama kufisadi kafisadi tayari , si atulie akale pesa zake.!
Anataka kuiba mpaka lini
?
 
No one like him
 
Attachments

  • 1416032350467.jpg
    1416032350467.jpg
    7.8 KB · Views: 173
Hapa wadau wote tunaomkubali EL tukutane kwa ajili ya kupena Updates na kukumbushana mawili matatu juu ya Mheshimiwa huyu ya Rais Mtarajiwa. Huyu ni kiongoz ambaye tumempoteza miaka mingi sana aina ya akina Sokoine. kiongozi mwenye uthubutu, msimamo,mtizamo,falsafa,kujiamini na mwenye maamuzi . Huyu ndiye anayejua uelekeo wa tanzania miaka kadhaa ijayo. acaheni wanaopiga kelele za Hovyo za wimbo ule ule wa miaka yote. Hapa tutamwongelea zee wetu ambaye ameonekana kupendwa na makabila yote na dini zote. na ndo maana hujamsikia akizungumziwa vibaya kwa mambo hayo kawa kuwa anajua yeye ni mtanzania na si Mmasai. Huyu mzee ndiye pekee ambaye ameonesha kuwa anaweza simamia jambo na likawa kama ambavyo amepanga liwe.ni mengi sana amezushiwa, ametukanwa lakini siku zote amkekuwa mkmya na kimya chake ndo kimesababisha wakati mgumu zaidi wa wapinzani wake wanaopiga kelele kila kona.wadau tusisite kuleteana habari katika thread hii.nami sasa naingia jikoni kuleta habari nyingi sana za Mh Lowassa na wapinzani wake akina bwana pinda,membe,sitta,wasira na wengineo. hapa tutawekana sawa tu. na hatulali mpaka TUMEWAELEWESHA.

LOWASSA 2015 .
 
Safari ya matumaini....

Miaka 50 na zaidi hatujapata matumaini yeye ataleta matumaini gani????
 
nakuunga mkono....tupia updates za kutosha na haturudi nyuma..jamaa anakubalika mbaya na makundi yote..Mungu akipanga hakuna wa kutengua mpango wake..Lowasa for president 2015..
 
Mbona hujatueleza kuhusu kashfa za ufisadi zinazomkabili?
 
UTUMBO BIN UTUMBO,Mheshimiwa anajulikana kwa kila kitu,msituhadae,hata watoto aliozaa wanajua tabia zake,mmojawapo namjua
 
Ukitumwa tumika, hiyo ndo kauli inakufaa wewe, nchi hii haiwezi kutawaliwa na mafisadi, subiri uone
 
Hapa wadau wote tunaomkubali EL tukutane kwa ajili ya kupena Updates na kukumbushana mawili matatu juu ya Mheshimiwa huyu ya Rais Mtarajiwa. Huyu ni kiongoz ambaye tumempoteza miaka mingi sana aina ya akina Sokoine. kiongozi mwenye uthubutu, msimamo,mtizamo,falsafa,kujiamini na mwenye maamuzi . Huyu ndiye anayejua uelekeo wa tanzania miaka kadhaa ijayo. acaheni wanaopiga kelele za Hovyo za wimbo ule ule wa miaka yote. Hapa tutamwongelea zee wetu ambaye ameonekana kupendwa na makabila yote na dini zote. na ndo maana hujamsikia akizungumziwa vibaya kwa mambo hayo kawa kuwa anajua yeye ni mtanzania na si Mmasai. Huyu mzee ndiye pekee ambaye ameonesha kuwa anaweza simamia jambo na likawa kama ambavyo amepanga liwe.ni mengi sana amezushiwa, ametukanwa lakini siku zote amkekuwa mkmya na kimya chake ndo kimesababisha wakati mgumu zaidi wa wapinzani wake wanaopiga kelele kila kona.wadau tusisite kuleteana habari katika thread hii.nami sasa naingia jikoni kuleta habari nyingi sana za Mh Lowassa na wapinzani wake akina bwana pinda,membe,sitta,wasira na wengineo. hapa tutawekana sawa tu. na hatulali mpaka TUMEWAELEWESHA.

LOWASSA 2015 .
 
HIZI NDIZO HOJA ZINAZOMTAFUNA LOWASSA
Copy+Paste: HIZI NDIZO HOJA 10
ZINAZOMTAFUNA
LOWASSA,Soma hapa kujua
1 Gazeti la Raia Mwema la
Novemba 2010 ,
liliripoti na kuonyesha picha ya
nyumba
ambayo familia yako inamiliki
Uingereza .
Ukasema ni ya mwanao . Je,
kwa nchi
maskini kama ya kwetu , ni
sahihi kwa
kiongozi mkubwa kumiliki
nyumba kubwa na
ya kifahari nje ya nchi ?
2 . Mkapa alipounda Baraza la
Mawaziri
jipya mwaka 1995 alikuacha .
Wengi
wanasema kwamba Mwalimu
alimwambia
asikupe hata Uwaziri je
Kwanini mwalimu
Alikukataa???
3 . Tangu mwaka 1994 , yaani
miaka 20
sasa, Afrika ya Kusini imekuwa
inakodisha
nyumba yako Masaki kama
Ubalozi wake .
Kuna tetesi kwamba huko
nyumba walitaka
kuhama lakini wakaogopa
kuihama nyumba
inayomilikiwa na kiongozi
mkuu na kuna
tetesi kwamba sasa wanataka
kuhama
lakini wanatishiwa kwamba
hamuwezi
kuhama nyumba ya Rais
ajaye . Ni kiasi
gani cha fedha umepata kwa
miaka 20 ya
kukodisha nyumba hiyo ? Je
kiasi hicho
kimeripotiwa kwenye fomu ya
maadili?
4 . Kuna maelezo kwamba
nyumba hiyo ya
Masaki ambayo Mzee Mandela
alikuja
mwaka 1994 kuufungua
ubalozi mpya wa
Afrika ya Kusini ndicho chanzo
kikuu cha
Mwalimu kusema kwamba
inakuwaje kijana
wa miaka 41 , akiwa mtumishi
ya umma
maisha yake yote na mshahara
wake
unajulikana , anamiliki hekalu
kama lile na
tena kulikodisha kwa Serikali
ya kigeni . Je,
unasemaje kuhusu hili ?
5 . Pia unamiliki ranchi kubwa
sana kule
Mzeri Handeni . Ranchi hiyo
ilikuwa ranchi
ya taifa lakini ukajimegea na
sasa
umeipanua kwa kumega
maeneo zaidi .
Ranchi hiyo uliipata ukiwa
bado kiongozi wa
umma. Je, mtu aliyewahi kuwa
Waziri wa
Mifugo na Waziri Mkuu kujiuzia
ranchi
iliyokuwa ya Serikali inaendana
na dhana
ya uongozi safi na uliotukuka?
Tukikupa
madaraka makubwa zaidi
hautajiuzia kila
kitu? Vilevile, katika nchi
ambayo wananchi
wengi hawwamiliki ardhi , kwa
kiongozi
anayetaka kuwa Rais wetu ,
kuhodhi eneo
kubwa la ardhi , inatuma picha
gani kwa
wananchi hao ?
6. Katika miaka yako 40 ya
utumishi wa
umma, kuna jipi jipya ambalo
umelisahau
na sasa utalifanya kwenye
Urais???
7. Umekuwa Waziri wa Ardhi ,
mbona
matatizo ya ardhi bado tele
nchini ?
Umekuwa Waziri wa Maji ,
mbona matatizo
ya maji bado tele ? Umekuwa
Waziri wa
Mazingira, mbona kuna
matatizo ya
uchafuzi wa mazingira ?
Umekuwa Waziri
wa Mifugo, mbona wafugaji
bado maskini
na wanahangaika ?? huo urais
unautaka wa nini kama uwaziri
umekushinda???
8. Kwenye sikukuu hii , kila
MNEC kapata
milioni 1 , hizo ni milioni 370
na kila
mjumbe 500 , 000 hizo ni
bilioni 2 . Hizi pesa
zinatoka wapi na zitarudishwa
vipi? Je,
kuna zoezi la usafishaji wa
pesa chafu
linalofanywa kupitia kampeni
yako???
CHANZO; FULL HABARI
 
tabby punguza hasira dada/kaka. tunaeleweshana. hebu weka ushahidi hapa wa wizi wa lowassa. achana na habar za vijiweni na kwenye kahawa ndugu yangu. lowassa anatenda kazi,anamsimamo,anamwelekeo. tunataka rais amabye atasimamia mambo muhimu ya kitaifa.sokoine alisimamia mambo muhimu ya kitaifa. lowassa amekuta utajiri katka familia yake. ameuendeleza wala haikuwa kosa alipaswa kupongezwa.mlitaka afilisike then ndo mseme mtu mwema? kamwangalie pinda miaka 20 iliyopita na sasa alivyo huyu mnayemwita mtoto wa mkulima. unajua anachuma kiasi kgani kupitia sukari na ichango anayolazimisha toka kwa wakurugenzi? ndo mnamtaka huyo?
 
Mnalipwa kiasi gani?

hakuna malipo yoyote..ila elewa hakuna aliye msafi ndani ya ccm lakini angalai kwa Lowassa jamaa anaweza kutuvusha hadi mahali tunapotaka kuwa..maamuzi yake magumu yatasaidia kuzifanya halmashauri zote kuwajibika..
 
Kama hulipwi wenzio wanalipwa tena alot of money..
 
Nyie watu hamna Akili kweli , huyu mzee mamvi anataka nini ? Kama kufisadi kafisadi tayari , si atulie akale pesa zake.!
Anataka kuiba mpaka lini
?

NDUGU YANGU USIRUDIE KOSA, MUNGU ANATAKA AKUFUTE MACHOZI.UMETESEKA VYA KUTOsha,UMENYANYASIKA KATIKA NCHI YAKO.SASA UNAYO NAFASI YA KUJITETEA AMBAYO MUNGU AMEKUPA NA AMETUONESHA SISI BAADHI YETU ILI TUWAFUNULIE MAONO YETU NYINYI MSIYO NAYO. Mtu Huyo Ni Tumaini Letu Edward Ngoyai Lowasa. Kiboko Cha Wala Fedha Za Halmashauri Na Wasiotaka Kutupandisha Daraja. Mtu Mwingine Ni Kiboko Cha Mafisadi Mkombozi Wetu Dr. Wilbroad Peter Slaa. Usitoke Nje Ya Hao.
 
Hapa wadau wote tunaomkubali EL tukutane kwa ajili ya kupena Updates na kukumbushana mawili matatu juu ya Mheshimiwa huyu ya Rais Mtarajiwa. Huyu ni kiongoz ambaye tumempoteza miaka mingi sana aina ya akina Sokoine. kiongozi mwenye uthubutu, msimamo,mtizamo,falsafa,kujiamini na mwenye maamuzi . Huyu ndiye anayejua uelekeo wa tanzania miaka kadhaa ijayo. acaheni wanaopiga kelele za Hovyo za wimbo ule ule wa miaka yote. Hapa tutamwongelea zee wetu ambaye ameonekana kupendwa na makabila yote na dini zote. na ndo maana hujamsikia akizungumziwa vibaya kwa mambo hayo kawa kuwa anajua yeye ni mtanzania na si Mmasai. Huyu mzee ndiye pekee ambaye ameonesha kuwa anaweza simamia jambo na likawa kama ambavyo amepanga liwe.ni mengi sana amezushiwa, ametukanwa lakini siku zote amkekuwa mkmya na kimya chake ndo kimesababisha wakati mgumu zaidi wa wapinzani wake wanaopiga kelele kila kona.wadau tusisite kuleteana habari katika thread hii.nami sasa naingia jikoni kuleta habari nyingi sana za Mh Lowassa na wapinzani wake akina bwana pinda,membe,sitta,wasira na wengineo. hapa tutawekana sawa tu. na hatulali mpaka TUMEWAELEWESHA.

LOWASSA 2015 .

tahadhari kumpenda lowasa si kosa' swali kwenu mumpendao 1:mnapenda lowasa kwa lipi hasa? Wakati alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi? hatakama hakua fisadi lakini ktk cheo chake kama waziri mkuu alishndwa kuwadhibiti mafisadi wa richmond na akakubali huo udhaifu alio nao kwa kujizulu je tukimpa uraisi ataweza kuwadhibiti mafisadi papa wa escrow ambao miongoni mwao ni mwanasheria mkuu wa serikali?
2:wewe ni nani hasa unayemfanyia kampeni huyu mtu? upo chama gani? Unafaidika vp? Maisha ya watanzania tuliowengi ni yakubangaiza wewe unajipatia je kipato mda mwingi upo online ukipiga kampeni?
3:kwanini unavunja sheria kwakufanya kampeni kabla ya wakati husika kisheria au ulijua kampeni mpaka kwenye majukwaa ya ana kwa ana? Hata hapa JF ni jukwaani. Jibu hayo kwanza maana yako mengi sana na kama hujaagizwa kuwa makini wazungu wanasema take care... Hili taifa sio lakufanyia mzaha hata kidogo
 
Rais Edward Ngoyai Lowasa Leo Amewafukuza Kazi Wakurugenzi Wa Halmashauri Za Wilaya Za ...Na .. Kwa Kuchelewa Kuwalipa Fedha Za Malimbikizo Ya Waalim Na Ametoa Onyo Kali Kwa Wakurugenzi Wengine. WAKATI Huohuo Wakurugenzi Zaidi Ya Wanane Wamelazwa Hospital Ya Taifa Ya Muhimbili Kutokana Na Shinikizo La Moyo.JAMANI HEBU MPENI HUYU TUMAIN LETU EDWARD NGOYAI LOWASA ATUSAFISHIE TAKATAKA HIZO.
 
Ukweli halisi ni huu hapa wakuu wala msihangaike bure:

Hata kama wapinzani watashinda kwa kupata kura zote hawawezi kuingia magogoni! Magogoni ni kwa ajili ya ccm baasi. Wapinzani baadae sana, sio sasa wakati bado nchi inatawalika. Wapinzani wataingia ikulu pale ambapo nchi haitawaliki lakini si kama ilivyo sasa hv! Niwakumbushe kulalamika lalamika haina maana kuwa nchi haiendi, inaenda sana tu! Si mnakumbuka ishu ya mzee wa vijisenti?Au mmeshamsahau mara hii? Mlilalamaika weeeee lakini juzi kai mzee wa vijisenti ndo anawaandikia katiba! Mpo hapo?

Hii nchi ni ngumu kwa wapinzani!! Kuna mengi hamjui, ila wanajitahidi sana lakini bado kabisa.

Dawa hazipatikani hospitali, wananchi wapo busy na foleni za kuwahi kibaruani kwa wahindi naye rais wao yupo maryland kapumzika kidogo! Mola amjalie afya njema!

Hela za escrow 200bln zinapigwa, wananchi wapo busy na yanga na simba nani mtani jembe!

Nchi bado inatawalika sanaaaaaaaa!! Na kwa hali hii wafuasi wa upinzani endeleeni kuota ndoto zenu za alinacha!
Mkitaka kunielewa jinsi ilivyo ngumu kupenya kwenda kuishi karibu na posta (magogoni) angalieni kwa yanayotokea Syria. Assad kakomaa hatoki ikulu; na ndio maana yake hatoki ikulu ndo habari ya ikulu hio baba/mama!

Sasa nyie ndo muende ikulu kama mnaendeka mlimani city vile kucheki show za akina sitti mtemvu??!! Thubutuuuu!! Acheni utani jamani nyie wapinzani! Sometimes muwe serious walau kidogo! Au mnafikiri ikulu ya Tanzania ni kama ya Burkina Fasso eeeehhhh!!!!! Imekula kwenu wakuu!!

2015 Kidume Edward Lowassa anatinga magogoni rasmi......Asieamini aendelee kuamini hivyo hivyo, Oct 2015 ataelewa ninachokisema hapa!!!!

Jembe Lowassa likiingia ikulu, Tanzania mpya itazaliwa! Unadhani watanzania wanaitaka Tanganyika???? Aaah wapi! System ya nchi ndo imekaa kushoto.....kwa hio wananchi wanatafuta namna ya kukabiliana nayo; yaani ayo ni utanganyika ni mahangaiko tu ya wananchi kukabiliana na mateso ya kiuchumi, kielimu na kiafya na si vinginevyo!

Lowassa akiingia ikulu tu baasi Tanganyika inasahaulika kabisa! Subirini muone!

Mungu iendelee kubariki uwepo wa Lowassa!

Ahsanteni sana wakuu!

Tunamuhitaji sana mh lowasa kuliko wakati wote wa maisha yote ya uhuru
 
Back
Top Bottom