Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

TeamLowassa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
1,495
Reaction score
937
Ukweli halisi ni huu hapa wakuu wala msihangaike bure:

Hata kama wapinzani watashinda kwa kupata kura zote hawawezi kuingia magogoni! Magogoni ni kwa ajili ya ccm baasi. Wapinzani baadae sana, sio sasa wakati bado nchi inatawalika. Wapinzani wataingia ikulu pale ambapo nchi haitawaliki lakini si kama ilivyo sasa hv! Niwakumbushe kulalamika lalamika haina maana kuwa nchi haiendi, inaenda sana tu! Si mnakumbuka ishu ya mzee wa vijisenti?Au mmeshamsahau mara hii? Mlilalamaika weeeee lakini juzi kai mzee wa vijisenti ndo anawaandikia katiba! Mpo hapo?

Hii nchi ni ngumu kwa wapinzani!! Kuna mengi hamjui, ila wanajitahidi sana lakini bado kabisa.

Dawa hazipatikani hospitali, wananchi wapo busy na foleni za kuwahi kibaruani kwa wahindi naye rais wao yupo maryland kapumzika kidogo! Mola amjalie afya njema!

Hela za escrow 200bln zinapigwa, wananchi wapo busy na yanga na simba nani mtani jembe!

Nchi bado inatawalika sanaaaaaaaa!! Na kwa hali hii wafuasi wa upinzani endeleeni kuota ndoto zenu za alinacha!
Mkitaka kunielewa jinsi ilivyo ngumu kupenya kwenda kuishi karibu na posta (magogoni) angalieni kwa yanayotokea Syria. Assad kakomaa hatoki ikulu; na ndio maana yake hatoki ikulu ndo habari ya ikulu hio baba/mama!

Sasa nyie ndo muende ikulu kama mnaendeka mlimani city vile kucheki show za akina sitti mtemvu??!! Thubutuuuu!! Acheni utani jamani nyie wapinzani! Sometimes muwe serious walau kidogo! Au mnafikiri ikulu ya Tanzania ni kama ya Burkina Fasso eeeehhhh!!!!! Imekula kwenu wakuu!!

2015 Kidume Edward Lowassa anatinga magogoni rasmi......Asieamini aendelee kuamini hivyo hivyo, Oct 2015 ataelewa ninachokisema hapa!!!!

Jembe Lowassa likiingia ikulu, Tanzania mpya itazaliwa! Unadhani watanzania wanaitaka Tanganyika???? Aaah wapi! System ya nchi ndo imekaa kushoto.....kwa hio wananchi wanatafuta namna ya kukabiliana nayo; yaani ayo ni utanganyika ni mahangaiko tu ya wananchi kukabiliana na mateso ya kiuchumi, kielimu na kiafya na si vinginevyo!

Lowassa akiingia ikulu tu baasi Tanganyika inasahaulika kabisa! Subirini muone!

Mungu iendelee kubariki uwepo wa Lowassa!

Ahsanteni sana wakuu!
 
Lowassa is for Tanzanians!!! Itachukua mda mrefu sana kwa wapinzani kuingia ikulu katika kiti cha uraisi
 
KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO UKO SAWA, LAKNI KWA MUJIBU WA KURA NA NGUVU YA UMMA, EL IKULU YA DAR, ni heri ngamia apite tundu la sindano, kumbuka maneno yako kumbuka maneno yangu tukutane mwaka 2015 mwezi May na Oktoba 2015. Utanipa kila ulichonacho kwa pongezi.
 
Wala sio kitu cha kuongea kwa kigugumizi,ndio kiongozi pekee ambaye anaweza kusafisha hii nchi,am sure ndo kiongozi pekee anayeweza ku rescue hii elimu ya tanzania,naamini ndo kiongozi pekee anayeweza vunja mtandao wote wa ufisadi,naamini ndio kiongozi pekee tunayeweza sema NI CHAGUO LA MUNGU
Go baba Go baba Tuko nyuma yako makamanda wako and we pray GOD will give you strength tuweze fika huko
 
Utachonga sana ndugu,maneno yako usije jutia 2015,ila Baba Lowassa hana mpinzani hao wote unaowaona ni wasindikizaji,siunafahau kwanye msafara wa mamba kenge pia hawakosekani...............
 
Mnatumia nguvu zenu nyingi kumpigia debe mtoa rushwa mgonjwa badala ya kutumia nguvu hizo kumwombea apone.Ikulu hawaendi wagonjwa watoa rushwa, wanaenda waadilifu wenye afya na maono.
 
wewe timiza wajibu wako upate kibaba cha unga cha kulisha familia yako na jinsi la kufunika makalio yako.wwesio msemaji wa hao wannchi unaosema wanamuhitaji kibaka.
amini usiamini.baada ya uchaguzi mkuu 2015 kibaka huyo atakuwa aidha gerezani au kaburini
 
Mnatumia nguvu zenu nyingi kumpigia debe mtoa rushwa mgonjwa badala ya kutumia nguvu hizo kumwombea apone.Ikulu hawaendi wagonjwa watoa rushwa, wanaenda waadilifu wenye afya na maono.

Unahangaika sana ndugu yangu wagonjwa ni kama wakina Marehemu rais Sata,lowassa yuko gado kuliko unavyomfikiria,hayo maneno yenu ni yawaliokata tamaa,but the fact is ufe,ulie,ujinyonge LOWASA Is the NEXT Amiri jeshi Mkuu wa majeshi,usijali tutakualika kwenye inaguration worry not
 
Kama Lowasa kweli ni mzalendo kwanini asituambie nani alikua nyuma ya Scandal ya Richmond

Mbona majibu tayari mnayo,fuatilia sakata la pesa za account ya escrow utajua ni nani yuko behind the issue of richmond,msiwe tomaso jamani,just streach ua brain a little bit
 
wewe timiza wajibu wako upate kibaba cha unga cha kulisha familia yako na jinsi la kufunika makalio yako.wwesio msemaji wa hao wannchi unaosema wanamuhitaji kibaka.
amini usiamini.baada ya uchaguzi mkuu 2015 kibaka huyo atakuwa aidha gerezani au kaburini

Kibaka ni yule anayeenda kutibiwa marekani wakati muhimbili hakuna madawa,kibaka ni yule anayechota hela kwenye account ya escrow kwa ajili ya familia yake wakati watoto wa wavuja jasho wana kaa chini madasani,adhabu yake haina msamahaa kabisa,MUNGU hadhihakiwi hata siku moja
 
Umeandika vizuri lakini umehitimisha VIBAYA. Wakati nchi inatawalika CC ya CCM haiwezi kupitisha jina la Lowassa. Lowassa atachiniiwa baharini na CC ya CCM. Kwasababu CCM inaamini kwamba hata ikimsimamisha Dr. Hamis Kigwangallah (no pun intended) atashinda tu. Na hata kama hatashinda basi atashindishwa na NEC.
 
Uzi wa kipuzi..

Umeungua kwa nini kama ni wa kipuuzi,endelea na shughuli zako dogo acha wenye mapenzi mema na nchi hii wauchangie wewe kalale zako,usubiri kubeba sembe yako kwani mwaka huu ndo mwisho Lowasa akishaingia hapo magogoni,biashara yenu pia inaishia hapo hapo
 
Wala sio kitu cha kuongea kwa kigugumizi,ndio kiongozi pekee ambaye anaweza kusafisha hii nchi,am sure ndo kiongozi pekee anayeweza ku rescue hii elimu ya tanzania,naamini ndo kiongozi pekee anayeweza vunja mtandao wote wa ufisadi,naamini ndio kiongozi pekee tunayeweza sema NI CHAGUO LA MUNGU
Go baba Go baba Tuko nyuma yako makamanda wako and we pray GOD will give you strength tuweze fika huko

Kaka Lekakui(nadhani we ni jinsia ya kiume,samahani kama nimekosea)
Unakumbuka wakati JK anaingia ikulu ilisemekana ni chagua la mungu?Nataka nikwambie kuwa JK alikuwa na nia njema sana wakati anaingia ikulu lakini wahafidhina na mapapa ndani ya Chama walimzidi nguvu na kumziba mdomo,system iliyopo ndani ya chama tawala ni kubwa na ina nguvu kumzidi Rais aliyeko madarakani,na kumbuka kuwa hata kama Rais awe vipi hafanyi kila kitu yeye,ana wasaidizi na watendaji na hao ndio wanaomuangusha na ndio kisa JK amekuwa akilalamika kuwa anaangushwa na watendaji,ndani ya Chama tawala hakuna alie msafi hata mmoja,hata mimi nilikuwa na hisia kama zako kuhusu EL ila nikifikiria kwa makini itakuwa Mvinyo mpya kwenye chupa kukuuu.Ili tupate maendeleo stahili inabidi CCM wawe wapinzani,na kwa kuwa wamekaa kwenye system muda mrefu nakuapia watakuwa wapinzani imara sana kuliko CDM,CUF,(UKAWA)wataisimamia serikali ipasavyo.
 
Ukweli halisi ni huu hapa wakuu wala msihangaike bure:

Hata kama wapinzani watashinda kwa kupata kura zote hawawezi kuingia magogoni! Magogoni ni kwa ajili ya ccm baasi. Wapinzani baadae sana, sio sasa wakati bado nchi inatawalika. Wapinzani wataingia ikulu pale ambapo nchi haitawaliki lakini si kama ilivyo sasa hv! Niwakumbushe kulalamika lalamika haina maana kuwa nchi haiendi, inaenda sana tu! Si mnakumbuka ishu ya mzee wa vijisenti?? Au mmeshamsahau mara hii!!?? Mlilalamaika weeeee lakini juzi kai mzee wa vijisenti ndo anawaandikia katiba! Mpo hapo???!!! Hii nchi ni ngumu kwa wapinzani!! Kuna mengi hamjui, ila wanajitahidi sana lakini bado kabisa!!!!

Dawa hazipatikani hospitali, wananchi wapo busy na foleni za kuwahi kibaruani kwa wahindi naye rais wao yupo maryland kapumzika kidogo! Mola amjalie afya njema!

Hela za escrow 200bln zinapigwa, wananchi wapo busy na yanga na simba nani mtani jembe!

Nchi bado inatawalika sanaaaaaaaa!! Na kwa hali hii wafuasi wa upinzani endeleeni kuota ndoto zenu za alinacha!
Mkitaka kunielewa jinsi ilivyo ngumu kupenya kwenda kuishi karibu na posta (magogoni) angalieni kwa yanayotokea Syria. Assad kakomaa hatoki ikulu; na ndio maana yake hatoki ikulu ndo habari ya ikulu hio baba/mama!

Sasa nyie ndo muende ikulu kama mnaendeka mlimani city vile kucheki show za akina sitti mtemvu??!! Thubutuuuu!! Acheni utani jamani nyie wapinzani! Sometimes muwe serious walau kidogo! Au mnafikiri ikulu ya Tanzania ni kama ya Burkina Fasso eeeehhhh!!!!! Imekula kwenu wakuu!!

2015 Kidume Edward Lowassa anatinga magogoni rasmi......Asieamini aendelee kuamini hivyo hivyo, Oct 2015 ataelewa ninachokisema hapa!!!!

Jembe Lowassa likiingia ikulu, Tanzania mpya itazaliwa! Unadhani watanzania wanaitaka Tanganyika???? Aaah wapi! System ya nchi ndo imekaa kushoto.....kwa hio wananchi wanatafuta namna ya kukabiliana nayo; yaani ayo ni utanganyika ni mahangaiko tu ya wananchi kukabiliana na mateso ya kiuchumi, kielimu na kiafya na si vinginevyo!

Lowassa akiingia ikulu tu baasi Tanganyika inasahaulika kabisa! Subirini muone!

Mungu iendelee kubariki uwepo wa Lowassa!

Ahsanteni sana wakuu!

Kwa jambo gani jema Lowassa alilowafanyia watanzania mpaka wamuhitaji kiasi hicho zaidi ya ufisadi na kuiweka nchi katika mikataba mibovu inayokandamiza na kudidimiza maendeleo ya watanzania ikimnufaisha yeye,familia yake na vibaraka wake kama wewe mpiga debe mitandaoni msaka tonge huna lolote.
 
Lowassa is for Tanzanians!!! Itachukua mda mrefu sana kwa wapinzani kuingia ikulu katika kiti cha uraisi
avatar253532_1.gif

Da!!!?
 
Edward Lowassa ni fisadi na mpenda rushwa aliyebobea hivyo hafahi kuwa rais wa JMT na isitoshe afya yake ni mgogoro watu kama yeye hawastahili kuingia ikulu watanzani wote makini wanajua hilo.
 
Back
Top Bottom