Mzee wa Harambeee!
Aliwahi kwenda Mwanza kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kiislam ile kuingia tu Matapeli kina Hamis Mgeja akatafuta Wenzie wakamvalisha Mzee Kanzu, kilemba, kashda na Joho lile la Maulamaa na watu wakajitoa ha Mstari kumpokea alipoingia akaambiwa MZee hapa lengo letu ni kufikisha Mil 360 basi akasimama akasema Yeye na Rafiki zake watachangia 520 Million.
Daah Yule Ngoyai wa Harambee na huyu wa Siku hizi wa Hashtag na ku print Tishert sijui Kulwa yupi na Doto ni yupi ?