Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema serikali ya CCM ina watu wabaya sana kwani walimuombea kifo wakati wa kampeni za Urais.
Waziri mkuu huyo wa zamani ameongeza kwa kusema mabadiliko hayazuiliki kwani ndio muelekeo wa dunia kwa sasa. Baada ya kumaliza ziara ya Zanzibar leo, Lowassa ametangaza kuelekea Kagera kwenye Ziara mkoani humo.